Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila watanzania hatuna tabia ya kulipa deni, sio wewe tu wengi wanadaiwa na hawana mpango wakulipa deni, sijui ni tabia au upumbavu.Wanajamvi kama unataka kufanya jambo lako na hela inapungua bora usubiri tu upate hela umalizie jambo lako maana sio poa.
Nilikuwa nataka kununua kitu last month hela ikapungua kama laki mbili hivi, basi nikamcheki mshikaji wako aniongezee then tarehe 21 ntamrefund nikitegemea mshahara kuingia, so mshahara umeingia toka Jumatatu bado naona ngumu kumlipa yaani sio poa na hela ninayo
Mkuu ni kweli?hebu naomba PMkonekshen ya karani iko site pendwa tayari, vpn yako tu
Sipendi vya bure wala sipendi kukopa na kuhold pesa ya mtu.Wewe unao wangapi? wanaokuhudumia?
Ni upumbavu tu. Mitanzania mingi ni mipumbavu.Ila watanzania hatuna tabia ya kulipa deni, sio wewe tu wengi wanadaiwa na hawana mpango wakulipa deni, sijui ni tabia au upumbavu.
Pole mkuuNimejifunza aiseee nilimkopesha mwana hela yangu hadi leo kila siku sababu .hadi nimechoka siku nitampelela polisi potelea mbali urafiki na ufe mana nilimpa hadi option ya kulipa atakachopata lakin hata kumi hajanipa na kitambi kinamtoka
Aiseee,wewe si mlipaji kabisaaaaaaWanajamvi kama unataka kufanya jambo lako na hela inapungua bora usubiri tu upate hela umalizie jambo lako maana sio poa. Nilikuwa nataka kununua kitu last month hela ikapungua kama laki mbili hivi, basi nikamcheki mshikaji wangu aniongezee then tarehe 21 ntamrefund nikitegemea mshahara kuingia, so mshahara umeingia toka Jumatatu bado naona ngumu kumlipa yaani sio poa na hela ninayo.
mkopo kutoka tgondio nn
GT bana umemkumbushia ile thread yakeNakuzingua tu.
Usimlipe huyo jamaa. Kaushia na kupotezea kwasababu na uhakika hata yeye kapiga na kudhulumu wengine wote watanzania ndo tulivyo. Usipomlipa utakuwa umeitendea haki karma ila na wewe pia utapigwa tu na atayekupiga naye atapigwa vile×2.Wanajamvi kama unataka kufanya jambo lako na hela inapungua bora usubiri tu upate hela umalizie jambo lako maana sio poa. Nilikuwa nataka kununua kitu last month hela ikapungua kama laki mbili hivi, basi nikamcheki mshikaji wangu aniongezee then tarehe 21 ntamrefund nikitegemea mshahara kuingia, so mshahara umeingia toka Jumatatu bado naona ngumu kumlipa yaani sio poa na hela ninayo.