Ba mkwe, nipo njiani tuje tuyapange.Siwezi kuja kuoza Mwanangu kwa Mahari yeyote ile.
Ongea kwanza na Mkeo akikubali uje nikukabidhi.Ba mkwe, nipo njiani tuje tuyapange.
Hahahaha haya Ba Mkwe, ila muhimu taarifa tu kwa mke wangu, ruhsa ipo naturallyOngea kwanza na Mkeo akikubali uje nikukabidhi.
Hata kamilioni hutoi mkuu[emoji23] [emoji23]Wazungu hili jambo kwao ni udhalilishaji na hii ni kwakuwa kwa mujibu wa historia wazungu walikuwa watu wa mapangoni hivyo kuna mambo mengi kwao ni kinyume. Mahari ni lazima hata utoe kandambili km ndo mmepatana basi ni mahari, Binafsi M8 sitoi hata M1 sitoi na nikitoa ukweni wasijipendekeze kuniomba hata pesa ya soda manake waliamua kunikomoa namie nalipa fadhila.
ha hahaaBa mkwe, nipo njiani tuje tuyapange.
Aiseee...ha hahahaa hahaWazungu hili jambo kwao ni udhalilishaji na hii ni kwakuwa kwa mujibu wa historia wazungu walikuwa watu wa mapangoni hivyo kuna mambo mengi kwao ni kinyume. Mahari ni lazima hata utoe kandambili km ndo mmepatana basi ni mahari, Binafsi M8 sitoi hata M1 sitoi na nikitoa ukweni wasijipendekeze kuniomba hata pesa ya soda manake waliamua kunikomoa namie nalipa fadhila.