Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaaMillion 8?[emoji3][emoji3][emoji3]muambie aongeze mitaji azidi kutoboa
Unaempenda humkomoiThat's why l love you huna gharama [emoji12] [emoji12]
Waweza jikuta mwanaume anaghairi!Mahari ni zawadi kwa wazazi kwa kukutunzia vyema mkeo lakini siku hizi imekua kama chanzo cha kupatia pesa. Mtu unakubali mumeo mtarajiwa alipe 8M hivi mkienda kuanza maisha akisema hana hela ya kula utamlaumu?.. Wanawake wengine wanaona sifa kabisa kulipwa mahari kubwa bila kujua anamuumiza mwenzie. Tena utakuta kijana wa watu ndo anachakarika ila mahari mtu anataja mamilioni.
ThnxAkili mingi
Kwa sheria ya Kiislam mahari ni zawadi anayopewa binti kwa kukubali kuolewa na anapewa anayeolewa sio wazazi na anapanga anaeolewa ndo anasema anataka niniNi kumdhalilisha mwanamke ndio maana wazazi wengine wanamwachisha mtoto masomo ili tu wapate mahari . Kama mwanamke ananipenda kama ni mahari tutatafuta pamoja ili tuwape wazazi wetu (pande zote) zawadi kwa kutulea
Hata utamaduni wa kukeketa wanawake upo tangu enzi kwenye zile jamii wanazokeketa.Huu utamaduni upo tangu enzi za zamani..wengine wanasema zawadi, wanaharakati wengine wanasema udhalilishaji
Mkuu ubarikiwe.Siwezi kuja kuoza Mwanangu kwa Mahari yeyote ile.
Kimila zetu, ukilipa mahari ukaoa.Swali chokozi,km mdada kaisha zalishwa na MTU mwingine unamlipia mahari ?
Au mwanamke yupi anayestahili mahari,aliyetayari na mtoto au bado?