My hair my crown
JF-Expert Member
- Feb 5, 2016
- 898
- 2,478
Hiyo ya kuachisha mtoto shule ili mahari ipatikane ni ya wapi tena? anayeoa ndo anayetakiwa atafute mwenyewe mahari. Sasa kama mahari mpaka wadogo zako waachishwe shule ndo ipatikane, utaweza kweli kimuhudumia mkeo? na kulipiwa mahari na wazazi sio sawa maana ni kuruhusu wao baadae waje kuingilia maamuzi kwenye ndoa yako maana hutakuwa na sauti utabaki kukumbushwa tu tulikuolea huyo mke.Ni kumdhalilisha mwanamke ndio maana wazazi wengine wanamwachisha mtoto masomo ili tu wapate mahari . Kama mwanamke ananipenda kama ni mahari tutatafuta pamoja ili tuwape wazazi wetu (pande zote) zawadi kwa kutulea