Kulipia huduma ya choo stend wakati umelipa getini ni jambo la ovyo

Kulipia huduma ya choo stend wakati umelipa getini ni jambo la ovyo

NI CHANZO Cha mapato ya ndani kwa Halmashauri NI Kodi usiseme sio kodi
 
Chukulia mfano wa bar, guest and chakula. Ukiingia sehemu hizo ukalipia huduma ya msingi basi huduma ya choo unaipata bure. Maana yake huwezi kulipia chumba gest halafu ukitaka kunya unalipia tena choo.

Hali ni tofauti katika stend zetu zinazotoza getini. Bila shaka ile 200 nayolipa getini sio kwamba stend inajiendesha kibiashara, lah hasha bali ni gharama za uendeshaji mf usafi nk. Sasa ni ujuha kulipa 200 getini hakafu ukienda kunya unalipishwa 300 tena.

Kwa stend ambazo hazitozi getini ni sahihi kwa sababu choo inabidi kijiendeshe. Lakini hawa wa getini ilitakiwa iwe huduma ya bure kwa watumiaji wa huduma za stend.

Ajabu ni kwamba Chama cha Walaji kiko kimya kinashindwa kuona mambo madogo kama hayo.

Ushauri wangu ni kwamba kanuni na miongozo itolewe kuondoa ada hizi mara moja katika bajeti ijayo. Kinyume na hapo basi na wengine turuhusiwe kutoza huduma za choo kwenye guest, bar nk
Unashangaa hicho !! Vituo vya mwendokas unakata ticket na choon ukienda unalipa yaan ni zaidi udengerema
 
Wakuu tujitahidi ku poo asubuhi kabla ya kutoka nyumbani Ili tusisumbuke huko duniani
 
Me naona sawa maana unaenda kwaajili ya safar sasa wewe ukibanwa haja bas wewe kalipie tu huko chooni,
 
Chukulia mfano wa bar, guest and chakula. Ukiingia sehemu hizo ukalipia huduma ya msingi basi huduma ya choo unaipata bure. Maana yake huwezi kulipia chumba gest halafu ukitaka kunya unalipia tena choo.

Hali ni tofauti katika stendi za Magufuli, Nanenane na Msamvu. Bila shaka ile 200 nayolipa getini sio kwamba stend inajiendesha kibiashara, lah hasha bali ni gharama za uendeshaji mf usafi nk. Sasa ni ujuha kulipa 200 getini hakafu ukienda kunya unalipishwa 300 tena.

Kwa stend ambazo hazitozi getini ni sahihi kwa sababu choo inabidi kijiendeshe. Lakini hawa wa getini ilitakiwa iwe huduma ya bure kwa watumiaji wa huduma za stend.

Ajabu ni kwamba Chama cha Walaji kiko kimya kinashindwa kuona mambo madogo kama hayo.

Ushauri wangu ni kwamba kanuni na miongozo itolewe kuondoa ada hizi mara moja katika bajeti ijayo. Kinyume na hapo basi na wengine turuhusiwe kutoza huduma za choo kwenye guest, bar nk

Kama hutaki kuchangia baki na mavi yako nyumbani (magufuli voice)
 
Back
Top Bottom