Kulipia huduma ya choo stend wakati umelipa getini ni jambo la ovyo

Umeleta hoja yenye mashiko.
Pale stendi ya magufuli hata maji yenyewe hakuna chooni.
 
NI CHANZO Cha mapato ya ndani kwa Halmashauri NI Kodi usiseme sio kodi
 
Unashangaa hicho !! Vituo vya mwendokas unakata ticket na choon ukienda unalipa yaan ni zaidi udengerema
 
Wakuu tujitahidi ku poo asubuhi kabla ya kutoka nyumbani Ili tusisumbuke huko duniani
 
Me naona sawa maana unaenda kwaajili ya safar sasa wewe ukibanwa haja bas wewe kalipie tu huko chooni,
 

Kama hutaki kuchangia baki na mavi yako nyumbani (magufuli voice)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…