Kulipuka kwa Pagers/RadioCalls Lebanon ni pigo kubwa kwa sekta ya uchukuzi na usafirishaji duniani

Battery hata la smart watch ukikaa vby linakukata mkono..

Hatuwezi kuwa na uhakika hasa.. ni nini kilifanyika.. ila wameweza kuwatishia watu naona sahiv hata Tv watakuw wanaiogopaπŸ˜…
πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚
Hao majamaa Wana mbinu nyingi atakuja na nyingine, hilo la pagers limeisha, kesho atakuja na lisasi ukilifyatua linakugeukia mwenyewe
 
Ni kweli kaka sale hawapo pale Kwa bahati wamejipanga haswa we angalia wanavyo shambuliwa ila wamekomaa tu
 
Ingia You Tube uone Lithium mlipuko wake.
Lebanon wamelipua vifaa vingi vya kielektronic , kuna sehem wamesema hadi zile scooter za umeme zinazotumia betri kuna ambazo zimelipuka,,,,,,,milipuko ingekua mikubwa sana wangekufa wengi,,ila wamekufa wachache ila wengi wamejeruhiwa, kwahio hakukua na c4 bali ni betri tu za hivyo vifaa ndo vimelipuliwa
 

"......Leo Hesbullah wote wakiitana kwenye radio wanazikimbia. Simu zikiita wanazitupa. Hakuna aliye salama duniani. Kuwa mwema fanya yanayokuhusu kwa nia njema hata yakikupata isiwe kwa sababu ya kujiingiza kwenye migogoro hasi na wenye uwezo....."
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
kuna sehem wamesema hadi zile scooter za umeme zinazotumia betri kuna ambazo zimelipuka,
Hii inahitaji source lakini hadi sasa ni Pager na Walkie-talkies ndio zinaonyeshwa kwenye TV zote.

Lakini kumbuka lengo la wahusika ni kuzua taharuki hata Tairi likipasuka watu waseme limewekewa milipuko.
 
Hapa inathibitisha wana wa Abraham wako vizuri sana.............maana kira aliyejikuta kamanda sana yeye ni mtu wa system........kazi kutoa connection ajijue tayari yuko mlemavu wa bila kutaka au jivu eli mauti..............ogopa sana wa zee wa kidoni........hawana show mbovu..............sasa bado Iran.......
 

Hata yule Ayatolah huenda kalimlipukia akiwa kwenye ukungu ndani ya Chopa mnasemaje Wakuu?!
 
-Kifo Cha Rais wa Iran na waziri wa mambo ya nje
-Kifo Cha Haniyeh ndani ya nchi ya Iran
-Shambulio la kulipuka kwa vilipuzi ,
Haya matukio yote ni matokeo ya operation za kijasusi za Israel na kamwe huwezi sikia wanaongelea.
Bado muda haujafika mkuu wa kurelease hizo info itachukua miaka kadha.
 
Kifaa chochote chenye battery kinaweza lipuka kama battery ikiwa over charged au ikiwekwa kwenye extrem hot condition.

Kwa ujuzi wangu mdogo naweza sema kuna uwezekano Israel ame configure remotely hizo pagers, akazi short circuit, matokeo yake yakawa ndio jayo ya mlipuko.
 
Ugaidi ni mbaya sana, huko Nigeria Boko Haramu wanaua raia huko Somalia Alshababu wanaua raia huko Mali na Burkina Faso Al Qaida Maghribi wanaua sana raia huko Msumbiji Islamic States inaua sana raia nk.
Mbona husemi Israel, Marekani na Ufaransa na uk wanavoua watu na watoto bila hatia? Huo ni ushamba dogo, wote hao ni magaidi na ushenzi
 
Duuh hatari Mkuu!
 
Mwenye masikio na asikie!
Mwenye macho na aone!

Cyber Warfare is real, usiwachezee Wayahudi au Wazungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…