Kulwa Masanja Isenge anyakua milioni 5 katika Shindano la 'Stories of change' 2022

Nawapongeza wote walioshiriki.

Makala zao zina uthubutu wa kuchochea mabadiliko kijamii na kisekta.

Hongera JamiiForums
 
Tunasubiri
 
Kwahiyo hata washindi wenyewe hawajijui?

Au ndio kama Mtu hujaona PM yoyote basi imepita hiyo.

Anyway Kila la kheri Kwa washindi watumie iyo Pesa vizuri
Kama ulishiriki na hujaona PM ujue ushaliwa kichwa.

Kwa washindi wanaombwa tu details zao ila hawaambiwi ushindi wao hadi sasa watakapotangazwa
 
Hiyo stori yake imesha change watu au Ni story Kama story zingine?

Watu walikuwa wanatusumbua Sana pm nikajua labda Ni boonge la Mamilioni kumbe mil.5?
 
Hongera sana kwao
 
Ili shindano kuna kitu nyuma ya pazia...
Akhsante kwa kututangazia mshindi.

Kwako wewe ulie shinda , waheshim wote walio shiriki , nawale wote walio kupigia kura , bila hao ushindi wako ungekua sichochote.

Washukuru hata wale waliosoma nakupita kimyakimya, hata sisi ambao hatukufungua Uzi wako pia tunastahili heshima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…