Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi siend tena K🔥,kama hamna bajaji kutakuwa na bodaboda wengi sana,Kumamoto hakuna bajaji.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Basi siend tena K[emoji91],kama hamna bajaji kutakuwa na bodaboda wengi sana,
Hujaelewa😛😛Hawapo, kwakweli Kumamoto ni jiji kwelikweli
[emoji28][emoji28]Huu mji ulitakiwa uelezee kule jukwaa la MMU ni maarufu sana kule na una aka nyingi kwelikweli naona ww unaufahamu kwajina hilo moja tu