Kumamoto: Mji ulio nivutia zaidi nchini Japan

Kumamoto: Mji ulio nivutia zaidi nchini Japan

Hii dunia hii.

Kuna Surabaya, Indonesia.

Halafu unapigwa na sehemu inaitwa Bangi, Malaysia

Halafu unapozwa na Kumamoto, Japan.
 
Screenshot_20241009_070509_Google.jpg
 
Tukiachana na majina yenye ukakasi wa matusi tuje kwenye majina ya wazungu yenye maana fulani kwa kiswahili, kuna mkoloni mmoja huko kusini mwa afrika aliitwa whitehead, yaani kichwa cheupe, kuna mchezaji huko uingereza anaitwa drinkwater, yaani mnywa maji
"drinkwater", yaani mnywa maji! Ungeomba msaada utafsiriwe.
 
Back
Top Bottom