Kumamoto: Mji ulio nivutia zaidi nchini Japan

 

Mkuu hapo hapo Ghana kuna mji unaitwa KUMASI
 
Kuna Course inaitwa Environmmental Chemistry kama sijasahau ilikuwa inagundishwa na Dr Mahugija waliosama CoNAS watamjua

Alikuwa anafundisha mambo ya Chemicals zijui zimafanyaje katika kutaja huu mji Darasa zima ilikuwa ni kicheko!!
 
Nakumbuka wimbo wa koffi olomide ulikuwa na kibwagizo kifananacho na "kumma inauma, kumah inauma"
Sasa sijui ndio alisema hivyo ama sisi masikio yalisikia vibaya, wataalam wa lingala mje hapa.
vipi na huu wimbo wake wa sasa tunaousikiliza akiimba **** makolo, **** makolo!
 
Hata hapa bongo kuna maeneo yana majina mabaya kwa lugha zetu za makabila yetu. Nje ya morogoro kulekea dodoma kuna kijiji kinaitwa mukundi na kibao kipo barabarani.
 
Tukiachana na majina yenye ukakasi wa matusi tuje kwenye majina ya wazungu yenye maana fulani kwa kiswahili, kuna mkoloni mmoja huko kusini mwa afrika aliitwa whitehead, yaani kichwa cheupe, kuna mchezaji huko uingereza anaitwa drinkwater, yaani mnywa maji
 
Junichiro Koizumi 🔥🔥
 
Magazeti yataandika Kumamoto yaingiliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…