Tukiachana na majina yenye ukakasi wa matusi tuje kwenye majina ya wazungu yenye maana fulani kwa kiswahili, kuna mkoloni mmoja huko kusini mwa afrika aliitwa whitehead, yaani kichwa cheupe, kuna mchezaji huko uingereza anaitwa drinkwater, yaani mnywa maji