Kwa wanaomfahamu Mange kwa miaka mingi, tunaelewa kwamba ni zaidi ya influencer, ana kipaji cha ziada cha kuratibu na kuhamasisha maandamano.
Ni tangu enzi za Magufuli watu waliingia road kwa maandamano aliyopanga yeye, na hii Mo 29 kaplay big part, tuliona namna alivyoweza kuunganisha watu, kuwajenga kisaikolojia, kuwapa ujasiri, kuwapangia cha kufanya, n.k.
Aliwajaza moto watanzania kwa kuweka wazi matukio ya kifisadi, viongozi kumiliki magari ya mabilioni, videos za utekaji, videos za ubakaji, uonezi, n.k. ni vitu ambavyo vilikuwa vinawapa watu hasira,
Namba yake ya WhatsApp ndicho kilikuwa kituo chake kikuu cha kukusanya taarifa, mahali ambapo video, sauti, na ushuhuda hadi kutoka maeneo yenye hatari yalikusanywa.
Taarifa hizo aliziweka nstagram, Kupitia Instagram, ndani ya mwezi mmoja tu, account yake ilikuwa inafika views zaidi ya milioni 600, hiyo ni nguvu ambayo haipatikani kirahisi.
Lakini kwenye haya maandamano ya D9 kadhibitiwa mapema. Wamemkata nje kabla hajapanga safu. kablokiwa whatsapp na Instagram, silaa zake kuu.
Kukosekana kwake kumepunguza kasi ya maandamano, leo D9 internet ipo wazi ila mzunguko wa taarifa ni mdogo, na kitu kingine wiki iliyopita kabla hajafungiwa alishauri maandamano yawe christmas, hii inaweza kuwa sababu kubwa D9 imepoa.
Kwa upande wa kizazi kipya cha influencers kina Maria, Hilda, Sativa, Hilda na wengine bado hawajafika hatua ya kuwa nguzo za taarifa za harakati. Hawatoi namba zao za whatsapp wazi, hawana network ya watu wa kwenye tukio, wanategemea kuchota taarifa kwa kuperuzi vilivyopostiwa na wengine, akaunti zao hubadilika kila wiki.
Hili ndilo pengo tunaloliona leo: harakati zipo, watu wapo, nguvu ipo lakini bado kunakosekana mwenye kazi yake maalum,