Na Waliotoka 29 wengi walikuwa wanawake?Mange anafatiliwa zaidi na wanawake
Hamna mwenye akili timamu anaetaka kuchoma nchi, ondoa huu ujumbe wako usio maana.Mwananchi kuilinda Tanzania ni jukumu lako
epuka kuichoma nchi yako
Na hio ni moja ya sababu ya D9 kupoaUnajua kama Mange alipendekeza leo kusifanyike maandamano yasogezwe christmas?
Kaka yanafanyika wapi hasaaa......sio kwamba mambo hayafanyiki, bali hakuna mfumo wa kuyatoa nje kwa uthabiti.
Yeye aliyatua maelfu ya watuBy the way kuna ukweli na hili litatumika pia kuverify kua yeye alikua chanzo cha mambo yote MO29
Soma upya post kamili, Kafungiwa namba yake ya whatsapp, hizo videos atapokea vp ?Nina wasiwasi na mwenendo w mange huenda keshasalenda ...hata kama umefungiwa instagram ndio ushindwe hata kutoa video watu wakazisambaza? kuna kitu nyuma ya pazi
Mara ya kwanza si walisema Amani Nini kilifanyika hawakuchoma ?Hamna mwenye akili timamu anaetaka kuchoma nchi, ondoa huu ujumbe wako usio maana.
Kuua kuna dhana mbili kuna kitu mnakikwepa sana linapokuja swala la Mo 29 ni kwamba kila kauli iliyotoka hasi kwa serikali kilikua chanzo cha mauaji na wanaharakati walilijua hili ndo mana walihimiza kuchukua picha na vudeos...Yeye aliyatua maelfu ya watu
Mwenye Kipaji Maalum huwa hakosei katika Strategies Mkuu hivyo acha Kumpamba sana na kumpa Sifa asizostahili.Kwa wanaomfahamu Mange kwa miaka mingi, tunaelewa kwamba ni zaidi ya influencer, ana kipaji cha ziada cha kuratibu na kuhamasisha maandamano.
Ni tangu enzi za Magufuli watu waliingia road kwa maandamano aliyopanga yeye, na hii Mo 29 kaplay big part, tuliona namna alivyoweza kuunganisha watu, kuwajenga kisaikolojia, kuwapa ujasiri, kuwapangia cha kufanya, n.k.
Namba yake ya WhatsApp ndicho kilikuwa kituo chake kikuu cha kukusanya taarifa, mahali ambapo video, sauti, na ushuhuda hadi kutoka maeneo yenye hatari yalikusanywa.
Taarifa hizo aliziweka nstagram, Kupitia Instagram, ndani ya mwezi mmoja tu, account yake ilikuwa inafika views zaidi ya milioni 600, hiyo ni nguvu ambayo haipatikani kirahisi.
Lakini kwenye aya maandamano ya D9 kadhibitiwa mapema. Wamemkata nje kabla hajapanga safu. kablokiwa whatsapp na Instagram, silaa zake kuu.
Kukosekana kwake whatsapp kumepunguza mzunguko wa taarifa kwa kiwango kikubwa. Ndiyo maana leo mitandaoni kuna vichache sana vinavyoonyesha kinachojiri kwenye maandamano ya D9, sio kwamba mambo hayafanyiki, bali hakuna mfumo wa kuyatoa nje kwa uthabiti.
Kwa upande wa kizazi kipya cha influencers kina Maria, Hilda, Sativa, Hilda na wengine bado hawajafika hatua ya kuwa nguzo za taarifa za harakati. Hawatoi namba zao za whatsapp wazi, hawana network ya watu wa kwenye tukio, wanategemea kuchota taarifa kwa kuperuzi vilivyopostiwa na wengine, akaunti zao hubadilika kila wiki.
Hili ndilo pengo tunaloliona leo: harakati zipo, watu wapo, nguvu ipo lakini bado kunakosekana mwenye kazi yake maalum,
Mchochezi Mwandamizi, akiona Watu wanaishi kwa amani, mwili unamuwasha.Kwa wanaomfahamu Mange kwa miaka mingi, tunaelewa kwamba ni zaidi ya influencer, ana kipaji cha ziada cha kuratibu na kuhamasisha maandamano.
Ni tangu enzi za Magufuli watu waliingia road kwa maandamano aliyopanga yeye, na hii Mo 29 kaplay big part, tuliona namna alivyoweza kuunganisha watu, kuwajenga kisaikolojia, kuwapa ujasiri, kuwapangia cha kufanya, n.k.
Namba yake ya WhatsApp ndicho kilikuwa kituo chake kikuu cha kukusanya taarifa, mahali ambapo video, sauti, na ushuhuda hadi kutoka maeneo yenye hatari yalikusanywa.
Taarifa hizo aliziweka nstagram, Kupitia Instagram, ndani ya mwezi mmoja tu, account yake ilikuwa inafika views zaidi ya milioni 600, hiyo ni nguvu ambayo haipatikani kirahisi.
Lakini kwenye aya maandamano ya D9 kadhibitiwa mapema. Wamemkata nje kabla hajapanga safu. kablokiwa whatsapp na Instagram, silaa zake kuu.
Kukosekana kwake whatsapp kumepunguza mzunguko wa taarifa kwa kiwango kikubwa. Ndiyo maana leo mitandaoni kuna vichache sana vinavyoonyesha kinachojiri kwenye maandamano ya D9, sio kwamba mambo hayafanyiki, bali hakuna mfumo wa kuyatoa nje kwa uthabiti.
Kwa upande wa kizazi kipya cha influencers kina Maria, Hilda, Sativa, Hilda na wengine bado hawajafika hatua ya kuwa nguzo za taarifa za harakati. Hawatoi namba zao za whatsapp wazi, hawana network ya watu wa kwenye tukio, wanategemea kuchota taarifa kwa kuperuzi vilivyopostiwa na wengine, akaunti zao hubadilika kila wiki.
Hili ndilo pengo tunaloliona leo: harakati zipo, watu wapo, nguvu ipo lakini bado kunakosekana mwenye kazi yake maalum,
Na Waliotoka 29 wengi walikuwa wanawake?
Nasubiri kesho km hizo road block zitaendeleaNdo ujue maandamano hayajaanzishwa na Mange, Wala lisu alipo sema uchaguzi 2025 utayeyuka hakusikia kutoka kwa mange.
Ni wao wenyewe huko wamevurugana