King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Unajua kama Mange alipendekeza leo kusifanyike maandamano yasogezwe christmas?
Nani alisema amani??Mara ya kwanza si walisema Amani Nini kilifanyika hawakuchoma ?
Haya maandamano yenu yasiyo na ujumbe maalumu,kibari wala muelekeo yanaashiria nini?Hamna mwenye akili timamu anaetaka kuchoma nchi, ondoa huu ujumbe wako usio maana.
Wengi walikuwa vibaka hukuona walivyoiba Mali za watu?Na Waliotoka 29 wengi walikuwa wanawake?
Mwananchi kuilinda Tanzania ni jukumu lako
epuka kuichoma nchi yako
Maandamano ni akili pia siyo mange kimambi ...niliwaambia watu kuweka maandamano siku ya uchaguzi ilikuwa kete sahihi kabisa kwa sababu uchaguzi unaruhusu movement ya watu ...ila maandamano ya d9 ayawezi kuwa na nguvu isipokuwa yakiwa endeleavu d10 d11 d12 d13 d14 nk yaani yavuke ike siku ya mapumziko mfano kesho watu wakienda makazini ndiyo yaendelee hapo yatakuwa power fullKwa wanaomfahamu Mange kwa miaka mingi, tunaelewa kwamba ni zaidi ya influencer, ana kipaji cha ziada cha kuratibu na kuhamasisha maandamano.
Ni tangu enzi za Magufuli watu waliingia road kwa maandamano aliyopanga yeye, na hii Mo 29 kaplay big part, tuliona namna alivyoweza kuunganisha watu, kuwajenga kisaikolojia, kuwapa ujasiri, kuwapangia cha kufanya, n.k.
Aliwajaza moto watanzania kwa kuweka wazi matukio ya kifisadi, viongozi kumiliki magari ya mabilioni, videos za utekaji, videos za ubakaji, uonezi, n.k. ni vitu ambavyo vilikuwa vinawapa watu hasira,
Namba yake ya WhatsApp ndicho kilikuwa kituo chake kikuu cha kukusanya taarifa, mahali ambapo video, sauti, na ushuhuda hadi kutoka maeneo yenye hatari yalikusanywa.
Taarifa hizo aliziweka nstagram, Kupitia Instagram, ndani ya mwezi mmoja tu, account yake ilikuwa inafika views zaidi ya milioni 600, hiyo ni nguvu ambayo haipatikani kirahisi.
Lakini kwenye haya maandamano ya D9 kadhibitiwa mapema. Wamemkata nje kabla hajapanga safu. kablokiwa whatsapp na Instagram, silaa zake kuu.
Kukosekana kwake kumepunguza kasi ya maandamano, leo D9 internet ipo wazi ila mzunguko wa taarifa ni mdogo, na kitu kingine wiki iliyopita kabla hajafungiwa alishauri maandamano yawe christmas, hii inaweza kuwa sababu kubwa D9 imepoa.
Kwa upande wa kizazi kipya cha influencers kina Maria, Hilda, Sativa, Hilda na wengine bado hawajafika hatua ya kuwa nguzo za taarifa za harakati. Hawatoi namba zao za whatsapp wazi, hawana network ya watu wa kwenye tukio, wanategemea kuchota taarifa kwa kuperuzi vilivyopostiwa na wengine, akaunti zao hubadilika kila wiki.
Hili ndilo pengo tunaloliona leo: harakati zipo, watu wapo, nguvu ipo lakini bado kunakosekana mwenye kazi yake maalum,
Of coz ni non stopMaandamano ni akili pia siyo mange kimambi ...niliwaambia watu kuweka maandamano siku ya uchaguzi ilikuwa kete sahihi kabisa kwa sababu uchaguzi unaruhusu movement ya watu ...ila maandamano ya d9 ayawezi kuwa na nguvu isipokuwa yakiwa endeleavu d10 d11 d12 d13 d14 nk yaani yavuke ike siku ya mapumziko mfano kesho watu wakienda makazini ndiyo yaendelee hapo yatakuwa power full
Mtu mzima hovyoMange alikuwa amebakiza kuwambia wafuasi wake waanze kula vinyesi na wangekula aisee.
Yale maandamano ya desemba 9 na 25 yalishindwa kwa sababu huyo shetani alikosa jukwaa la kusambazia fitina zake.Kwa wanaomfahamu Mange kwa miaka mingi, tunaelewa kwamba ni zaidi ya influencer, ana kipaji cha ziada cha kuratibu na kuhamasisha maandamano.
Ni tangu enzi za Magufuli watu waliingia road kwa maandamano aliyopanga yeye, na hii Mo 29 kaplay big part, tuliona namna alivyoweza kuunganisha watu, kuwajenga kisaikolojia, kuwapa ujasiri, kuwapangia cha kufanya, n.k.
Aliwajaza moto watanzania kwa kuweka wazi matukio ya kifisadi, viongozi kumiliki magari ya mabilioni, videos za utekaji, videos za ubakaji, uonezi, n.k. ni vitu ambavyo vilikuwa vinawapa watu hasira,
Namba yake ya WhatsApp ndicho kilikuwa kituo chake kikuu cha kukusanya taarifa, mahali ambapo video, sauti, na ushuhuda hadi kutoka maeneo yenye hatari yalikusanywa.
Taarifa hizo aliziweka nstagram, Kupitia Instagram, ndani ya mwezi mmoja tu, account yake ilikuwa inafika views zaidi ya milioni 600, hiyo ni nguvu ambayo haipatikani kirahisi.
Lakini kwenye haya maandamano ya D9 kadhibitiwa mapema. Wamemkata nje kabla hajapanga safu. kablokiwa whatsapp na Instagram, silaa zake kuu.
Kukosekana kwake kumepunguza kasi ya maandamano, leo D9 internet ipo wazi ila mzunguko wa taarifa ni mdogo, na kitu kingine wiki iliyopita kabla hajafungiwa alishauri maandamano yawe christmas, hii inaweza kuwa sababu kubwa D9 imepoa.
Kwa upande wa kizazi kipya cha influencers kina Maria, Hilda, Sativa, Hilda na wengine bado hawajafika hatua ya kuwa nguzo za taarifa za harakati. Hawatoi namba zao za whatsapp wazi, hawana network ya watu wa kwenye tukio, wanategemea kuchota taarifa kwa kuperuzi vilivyopostiwa na wengine, akaunti zao hubadilika kila wiki.
Hili ndilo pengo tunaloliona leo: harakati zipo, watu wapo, nguvu ipo lakini bado kunakosekana mwenye kazi yake maalum,
amesharudishiwa account ya whatsapp, hivi punde atarudishiwa ya InstaYale maandamano ya desemba 9 na 25 yalishindwa kwa sababu huyo shetani alikosa jukwaa la kusambazia fitina zake.
META hawawezi kumrudishia akaunti zake wamegundua namna alivyo hayawani.
Chawa katika ubora wake japo ni wazi wewe hunufaiki chochote na utawala uliopo.Yale maandamano ya desemba 9 na 25 yalishindwa kwa sababu huyo shetani alikosa jukwaa la kusambazia fitina zake.
META hawawezi kumrudishia akaunti zake wamegundua namna alivyo hayawani.
Huyo dada anazo akaunti tano za mitandao, moja aliitumia kwenye kutengeneza machafuko hiyo haijafunguliwa. Nne hazina matatizo zenyewe zimefunguliwa.Chawa katika ubora wake japo ni wazi wewe hunufaiki chochote na utawala uliopo.
Kwa nini sisi waafrika tunakuwa wajinga namna hii? Wewe unafanya uchaguzi feki halafu watu wakipinga unamsingizia Mange.Huyo dada anazo akaunti tano za mitandao, moja aliitumia kwenye kutengeneza machafuko hiyo haijafunguliwa. Nne hazina matatizo zenyewe zimefunguliwa.
Unamdanganya nani ukiwa wapi Lumumba.Huyo dada anazo akaunti tano za mitandao, moja aliitumia kwenye kutengeneza machafuko hiyo haijafunguliwa. Nne hazina matatizo zenyewe zimefunguliwa.
Aliyenipa hizi taarifa ndiye aliyeshiriki kuhakikisha Mange hawezi tena kuleta machafuko nchini.Unamdanganya nani ukiwa wapi Lumumba.