Kumbe aina hii ya uchawi hata nchi zilizoendelea upo?

Kumbe aina hii ya uchawi hata nchi zilizoendelea upo?

Nimejifunza kitu,
Siyo kupost tu.Hata mtaani ikiwezekana ishi kifara lakini nyuma ya pazia upo unakula pensheni zako.
Ndio huwa napenda na maisha yangu.mpaka rafiki zangu nikiwaambia kuwa Sina hela hawaamini unakuta hata Mia sina. Wanadai naweza nikawa na Billions Ila bado najiliza kuwa Sina hela
 
Utajikuta umepewa nyumba ya kuishi kule Gambosh!
Last week nilikuwa Makambako, mjomba alikuwa kamweka msukule mtoto wa dada yake. Mtoto ametafutwa mwaka mmoja na nusu haonekani, halafu mjomba akawa analeta story za uwongo, eti mtoto ameonekana Kariakoo mtaa wa Congo anafanya umachinga.

Siku hiyo mjomba sijui alisahau masharti, mtoto wa dada yake na watoto wengine wawili wakatoka huko walikofungiwa.

Watoto minywele imerefuka, mikucha, wachafuuuu, wanatisha balaa
 
Kuna watu ulozi upo kwenye mishipa ya damu aisee!Bila kufanya ulozi na kuutegemea kwenye mambo ya maisha anashikwa na kwikwi.Mjomba kawa "ankale"!😝😝😝😝😝
 
Ndo maana kuna meme za kupost status sio kila siku uko kweny mahotel mara magari utakuja kufa kabla ya siku zako.
 
Back
Top Bottom