Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #21
Weka urogweVilevile hata kuweka taarifa zozote muhimu kwenye akaunti ni hatari kwako na wanaokuzunguka/familia yako.Huwa siweki profile picture wala picha za wanafamilia kwenye akaunti.Watu wengine si wema hata kidogo.
Usijaribuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji91]Umekaa vizuri sana. Ukitaka kuwa confuse mbu, shuka kitandani kalale uvunguni, mbu wote wataenda kukungoja kitandani wakitarajia unarudi muda si mrefu
Utajikuta umepewa nyumba ya kuishi kule Gambosh!Weka urogwe
π π€£πUsijaribuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji91]
Ndio huwa napenda na maisha yangu.mpaka rafiki zangu nikiwaambia kuwa Sina hela hawaamini unakuta hata Mia sina. Wanadai naweza nikawa na Billions Ila bado najiliza kuwa Sina helaNimejifunza kitu,
Siyo kupost tu.Hata mtaani ikiwezekana ishi kifara lakini nyuma ya pazia upo unakula pensheni zako.
Last week nilikuwa Makambako, mjomba alikuwa kamweka msukule mtoto wa dada yake. Mtoto ametafutwa mwaka mmoja na nusu haonekani, halafu mjomba akawa analeta story za uwongo, eti mtoto ameonekana Kariakoo mtaa wa Congo anafanya umachinga.Utajikuta umepewa nyumba ya kuishi kule Gambosh!
Kuna watu ulozi upo kwenye mishipa ya damu aisee!Bila kufanya ulozi na kuutegemea kwenye mambo ya maisha anashikwa na kwikwi.Mjomba kawa "ankale"!πππππLast week nilikuwa Makambako, mjomba alikuwa kamweka msukule mtoto wa dada yake. Mtoto ametafutwa mwaka mmoja na nusu haonekani, halafu mjomba akawa analeta story za uwongo, eti mtoto ameonekana Kariakoo mtaa wa Congo anafanya umachinga.
Siku hiyo mjomba sijui alisahau masharti, mtoto wa dada yake na watoto wengine wawili wakatoka huko walikofungiwa.
Watoto minywele imerefuka, mikucha, wachafuuuu, wanatisha balaa
Roho chafu tu zinawasumbuaKuna watu ulozi upo kwenye mishipa ya damu aisee!Bila kufanya ulozi na kuutegemea kwenye mambo ya maisha anashikwa na kwikwi.Mjomba kawa "ankale"!πππππ
Pamoja na mazoea.Wamefanya ulozi ni part and parcel yao maishani.Hiyo mitaa uliyoitaja hadi kuleee ziwa "Banda" ni hatari.Roho chafu tu zinawasumbua