Kumbe Ali Kiba aliomba msaada kwa Wema kumkabili Diamond! Wema atoboa

Kumbe Ali Kiba aliomba msaada kwa Wema kumkabili Diamond! Wema atoboa

Waache wahorojeke tu hapa.
Sisi tunapiga kura.

Mada za kijinga kijinga....uwoga usio na maana.

Yap mkuu! Acha wajilize tu, hiyo tuzo 1 imewapa shock kubwa sana, kwa wataalam wa saikolojia wataelewa kuwa huu ni muendelezo wa mechanism defense dhidi ya kipigo kilichopo mbele yao kwenye KTMA, maana alianza boss wao mwenyewe, kaja Le mutz na hawa wapambe mandazi hapa wanatafuta justification ya jushindwa kwao waje waseme sijui sisi hatukujipigia promo, mara wema alimsaidia King..

Hahahaha wataelewa tu macho yetu.
 
Mkiambiwa team kiba mna matusi mnakataa pole aisee narudia tena sikumaanisha kukupanikisha so plzzz nisamehe sijuagi kutukanana am sory mademe jaman ila mshushuo wa wema umekuingia vizuri nashukuru kwa hilo

Tuliza mshono babu marinda yapite nyooo..ko unayajua matusi wew unayasikia... heheheiyaaaa eti timu kiba tuna matusi kho kho khooo ebu kilaze uko usinichefuee
Kafungue na wew new id kama kawaida yenu uje unichambe nisipokujambia adi uote upara
 
Akatoe asante kwa x wa Mondi

Mechanism defense hizo, tulie mnyolewe kelele za nini? Kwanza nimesahau nyie wenzentu mlisema tuzo za ndani sio hadhi yenu bali nyie hadhi yenu ni tuzo za kimataifa kama BET, MTV hahahhaha sasa kwanini mnaanza tena kulialia au umeona hiyo taarabu mliomba na khadija kopa haiwezi kuwapeleka tena BET?

#WAMEANZAKUELEWA
 
hahah mzee wa kuomba kick... Wema na yeye amepata aibu .. maana kila siku akitemana na Dai yeye anazidi kushuka Dai anazidi kupanda .. hivyo akaona isiwe tabu ngoja amuumbue mchawi ili ajisafishe kutokana na Aibu aliyoipata kwa hadhira
 
Lala usingizi mnono na uburudike na lisongi la Diamond Plutnumz - Lala Salama; tuna kila aina ya nyimbo tamu dah. Lov u

Mkuu kwel bora ulale tu hizi siku maana baada ya KTMA huu muda unaochezea kukesha kumpiga majungu Jing utaukumbuka coz pale itakuwa hakuna kulala maana juzi tu baada ya tuzo 1 hukulala kabisa je baada ya tuzo 7? Hahahaha
 
Naona wameshaanza kuelewa kuwa kimbunga cha King kinatisha mwanzo walijipa moyo kuwa ni upepo tu unapita ila sasa mpaka paa la nyumba limeanza kubebwa ndo wanashtuka, hahahhaha

Wazee wa DNA hahahaaaaaaa tupaa kulee.
Nafurahi sana nikiona kiba anavyowatoa jasho
 
Hakuna ubaya. Lkn nahisi hakutarajia wema kuja kuongea kwenye media kua kiba aliomba. Alijua itaishia juu kwa juu

ht km kaongea hakuna ubaya pia
mi sijaona alipokosea wema na kwanza mbona kitu kidogo sana
km mtu anaomba kura stejini why not kwa wema tena ana influence kubwa tuuu....!!!
 
hahah mzee wa kuomba kick... Wema na yeye amepata aibu .. maana kila siku akitemana na Dai yeye anazidi kushuka Dai anazidi kupanda .. hivyo akaona isiwe tabu ngoja amuumbue mchawi ili ajisafishe kutokana na Aibu aliyoipata kwa hadhira

Safari hii lazima mtuelewe, nashukuru Mungu somo limeanza kueleweka maana kelele zote hizi si kawaida hahahhaha
 
Mama ushabiki ukizidi sana unakua ni kama utoto ujue.
Na kuua tena?

Kwani haujawai kusikia mashabiki wanaoshindwa kwa kuwa hawana cha kuwasapoti na ukweli upo wazi wanabakia kuua, inatokea hii duniani so usidhani ni utoto ukweli lazima usemwe. Kuua kubo kida ushabiki
 
Mechanism defense hizo, tulie mnyolewe kelele za nini? Kwanza nimesahau nyie wenzentu mlisema tuzo za ndani sio hadhi yenu bali nyie hadhi yenu ni tuzo za kimataifa kama BET, MTV hahahhaha sasa kwanini mnaanza tena kulialia au umeona hiyo taarabu mliomba na khadija kopa haiwezi kuwapeleka tena BET?

#WAMEANZAKUELEWA

achana nao hawa wanafki na wanaweweseka mnoo
 
Wazee wa DNA hahahaaaaaaa tupaa kulee.
Nafurahi sana nikiona kiba anavyowatoa jasho

Hahahaha sasa sipati picha baada ya collabo la KingKiba na Christian Bella likitoka june, walah kuna watu watapotea humu JF
 
Back
Top Bottom