Kumbe Ali Kiba aliomba msaada kwa Wema kumkabili Diamond! Wema atoboa

Kumbe Ali Kiba aliomba msaada kwa Wema kumkabili Diamond! Wema atoboa

umejuaje anashindana? Je amewahi kukutamkia hadharani kuwa yeye anafanya mziki kushindana? Nabaki pale umejuaje kiba anajipima na Domo na kujipima naye. Kwani ni kiba tu anayefanya mziki nchi hii? Sioni mantiki hapo eti anashindana kwahyo unataka asifanye mziki kisa unampenda mond. Mkuu km kweli una uwezo wa kufikiria beyond the box...I refer you to go and watch Sporah Show interview with Ali Kiba like never before.Kaa uyackilize vema maneno ya Ali Kiba kayika iyo interview utagundua dhana ya ushindani wake kimuziki na diamond...kuna maneno km 'amekalia kiti kingine bt it is a black seat' said:
Alafu akasikilize na mkasi ya kiba then sporah ya diamond sijui labda mi sielewi kutafsiri ila kiba alirud kishari na kutumia mgongo haiwezekan single boi ya 2012 ukaja kuongelea mistar imefutwa baadae then unasema amekalia kiti chako
 
Kiba mi namuelewa sana!!! Mwaka jana domo katoa nyimbo zaidi ya 3,zikawa zinapigwa bao na mwana!! Mwaka huu chekecha ikipigwa mahali afu piga hiyo taarabu yao,uone watakavokutolea dirishani!!

Kitu kingine nyimbo za kiba zinaishi kuliko domo!! Sikiliza my everthing,run dunia,mwana afu compare na ntampata wapi,kitorondo au number one org. Afu majibu mgawane!!!!! Hapo cjataka kugusa zile za kabla ya domo kama makmuga,karimu n.k

Dah!! We kiba weweee utaua
 
Huyo kibakuli mwenye sura kama anapiga MLUZI kinachomweka mjini kwa sasa ni 'BIFU' na kafanikiwa sana.Hakuna chochote anachomzidi Mond.Hata mashabiki anao kiduchu wa kariakoo "Wanaompa support kwa sasa siyo mashabiki wake bali ni maadui wa Mond.Kama kweli anajiamini "AMALIZE BIFU THEN KILA MTU AENDELEE NA MAISHA YAKE" !!Mwaka huu mabifu yamekutana mengi(IVAN,KIBAKULI,WEMA,EX wa BONGO,WANAFIKI Wasiopenda mafanikio ya vijana wao- ndo naona yanakiki ila lingekuwa moja angelimaliza easily.
 
sio kweli kwamba kiba amemuomba wema tu ampostie matangazo,but katuma kwa watu wake wengi wa karibu na mafans wake..ila kwakuwa wema alikuwa demu wa domo,naona team domo mmepata pakuanzia..TATIZO HAPO NI WEMA, anaamini akisema hivo basi ata make headline mtaani. lakini swali la kujiuliza ingekuwa msanii mwingine yoyote amemuomba wema hiyo support,mngetoka jasho hivo,au huyo wema angeenda kusema hivyo alivyosema kwa ishu ya kiba?????????????

HAPO KILA MTU AMECHEZA PART YAKE......alikiba ameomba support kwa watu wake akiwepo huyo wema na pia Wema amepata Kick kupitia Alikiba:teeth:
394
 
Huyo kibakuli mwenye sura kama anapiga MLUZI kinachomweka mjini kwa sasa ni 'BIFU' na kafanikiwa sana.Hakuna chochote anachomzidi Mond.Hata mashabiki anao kiduchu wa kariakoo "Wanaompa support kwa sasa siyo mashabiki wake bali ni maadui wa Mond.Kama kweli anajiamini "AMALIZE BIFU THEN KILA MTU AENDELEE NA MAISHA YAKE" !!Mwaka huu mabifu yamekutana mengi(IVAN,KIBAKULI,WEMA,EX wa BONGO,WANAFIKI Wasiopenda mafanikio ya vijana wao- ndo naona yanakiki ila lingekuwa moja angelimaliza easily.
images.jpg

kwa staili hii kiba hamfikii domo

559
 
tatizo team kiba mnajisahau sana, nyie ndio kutwa hamkuisha kusema diamond anasafiria nyota ya wema, na yeye kama yeye hawezi if not kwa kusafiria na nyota ya wema, hamkuishia hapo mkasema hata zile tuzo 7 alizipata kwa msaada wa wema, yeye hana jeuri ya kupata tuzo kwa nguvu zake mwenyewe, sasa kinachowauma ninyi tukiseka tuzo aliopata na atakazo pata kiba ni kwa hisani ya wema na sio yeye au ninyi mashabiki zake ni kitu gani?? sio ndio v/s imekuwa true au??? team wema wakaingilia nao na kuanzisha movement ya bring back our wema, sasa kama ujuavyo Mungu hanywi uji has answered your prayer now wameachana na kwa vile wengi walikuwa wanaamini dai bila wema hawezi wakatabiri anguko lake, kijana wetu hakutetereka zaidi sana akazidi kishine, sasa my POINT is, sio nyie mliokuwa mnampamba mfalme wenu kuwa yeye sii wakutegemea kick toka kwa wanawake???? kuwa your king got enough talent to make him run nasio wakutegemea vipromo uchwara????? NOW????? mbona kaenda kuomba support toka kwa wanawake??? tena kwa wale wale mliokuwa MNAMCHAMBA NAO DIAMOND????? nyie ndio WANAFKI WAKUBWAAAAAAAA!!

Pole sana.
Utaelewa tartiiibu tu!
 
Hawana jipya hao wakujidai international hawataki tuzo za nyumbani sasa ivi kujiliza Liza huku jf wanaonewa wivu.
Walivo na machungu sasa wanaandika magezeti marefu hafu hawana point muhimu. Sijui hawajui kufupisha kwa kuandika point muhimu wao kuzunguka wewe hafu wana malizia na Kiba ka hawasumbui mbona wanahangaika naye.
Hawana jipya hawa lack of exposure and their thinking capacity ziko low ka za kuku vile.

Wanaongea sana ndo matatizo yao.
MIGAZETI YENU HATUSOMI NG'OO TUPO BIZE NA KURA!
 
Diamond anabahatisha kila kitu coz hajui akae upande upi!! Alianzia kuchana,akaja bongoflava zile,mara kwaito,mnanda,taarabu,mwisho wa siku itakuwa daimondo vs bony mwaitege!!! Hahaha

It is called flexibility, versatility. Go look it up. The boy is talented, being able to easily move around and do different genres is a true definition of talent.
 
Ndo maana anajifanya hataki tuzo mwaka huu kwa kuwa anajua kiba lazima ampiku, japo mie ni team mondi ila ananiudhi maringo mengi kura yangu kwa kiba japo simfeel hata kidogo, nataka mondi a-pate muda wa kujifunza na kujirekebisha japo napenda nyimbo zake zooooote.
 
Mwaka huu hakuna rangi mtakosa kuona, na tuna mpango wa kuwakimbiza hadi kwenye killi na sijui mtatoa sababu gani!
 
B-)b-)b-)b-)b-)
 
Attachments

  • 1432934241157.jpg
    1432934241157.jpg
    17.8 KB · Views: 229
Kwa wakati huu ni vema akashauliwa Ali atoke huko kwenye mabonde ya Jangwani anakoshinda na masela, ataua kipaji chake, hiyo kitu siyo nzuri.
 
Back
Top Bottom