Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umejuaje anashindana? Je amewahi kukutamkia hadharani kuwa yeye anafanya mziki kushindana? Nabaki pale umejuaje kiba anajipima na Domo na kujipima naye. Kwani ni kiba tu anayefanya mziki nchi hii? Sioni mantiki hapo eti anashindana kwahyo unataka asifanye mziki kisa unampenda mond. Mkuu km kweli una uwezo wa kufikiria beyond the box...I refer you to go and watch Sporah Show interview with Ali Kiba like never before.Kaa uyackilize vema maneno ya Ali Kiba kayika iyo interview utagundua dhana ya ushindani wake kimuziki na diamond...kuna maneno km 'amekalia kiti kingine bt it is a black seat' said:Alafu akasikilize na mkasi ya kiba then sporah ya diamond sijui labda mi sielewi kutafsiri ila kiba alirud kishari na kutumia mgongo haiwezekan single boi ya 2012 ukaja kuongelea mistar imefutwa baadae then unasema amekalia kiti chako
Huyo kibakuli mwenye sura kama anapiga MLUZI kinachomweka mjini kwa sasa ni 'BIFU' na kafanikiwa sana.Hakuna chochote anachomzidi Mond.Hata mashabiki anao kiduchu wa kariakoo "Wanaompa support kwa sasa siyo mashabiki wake bali ni maadui wa Mond.Kama kweli anajiamini "AMALIZE BIFU THEN KILA MTU AENDELEE NA MAISHA YAKE" !!Mwaka huu mabifu yamekutana mengi(IVAN,KIBAKULI,WEMA,EX wa BONGO,WANAFIKI Wasiopenda mafanikio ya vijana wao- ndo naona yanakiki ila lingekuwa moja angelimaliza easily.Kiba mi namuelewa sana!!! Mwaka jana domo katoa nyimbo zaidi ya 3,zikawa zinapigwa bao na mwana!! Mwaka huu chekecha ikipigwa mahali afu piga hiyo taarabu yao,uone watakavokutolea dirishani!!
Kitu kingine nyimbo za kiba zinaishi kuliko domo!! Sikiliza my everthing,run dunia,mwana afu compare na ntampata wapi,kitorondo au number one org. Afu majibu mgawane!!!!! Hapo cjataka kugusa zile za kabla ya domo kama makmuga,karimu n.k
Dah!! We kiba weweee utaua
Huyo kibakuli mwenye sura kama anapiga MLUZI kinachomweka mjini kwa sasa ni 'BIFU' na kafanikiwa sana.Hakuna chochote anachomzidi Mond.Hata mashabiki anao kiduchu wa kariakoo "Wanaompa support kwa sasa siyo mashabiki wake bali ni maadui wa Mond.Kama kweli anajiamini "AMALIZE BIFU THEN KILA MTU AENDELEE NA MAISHA YAKE" !!Mwaka huu mabifu yamekutana mengi(IVAN,KIBAKULI,WEMA,EX wa BONGO,WANAFIKI Wasiopenda mafanikio ya vijana wao- ndo naona yanakiki ila lingekuwa moja angelimaliza easily.

tatizo team kiba mnajisahau sana, nyie ndio kutwa hamkuisha kusema diamond anasafiria nyota ya wema, na yeye kama yeye hawezi if not kwa kusafiria na nyota ya wema, hamkuishia hapo mkasema hata zile tuzo 7 alizipata kwa msaada wa wema, yeye hana jeuri ya kupata tuzo kwa nguvu zake mwenyewe, sasa kinachowauma ninyi tukiseka tuzo aliopata na atakazo pata kiba ni kwa hisani ya wema na sio yeye au ninyi mashabiki zake ni kitu gani?? sio ndio v/s imekuwa true au??? team wema wakaingilia nao na kuanzisha movement ya bring back our wema, sasa kama ujuavyo Mungu hanywi uji has answered your prayer now wameachana na kwa vile wengi walikuwa wanaamini dai bila wema hawezi wakatabiri anguko lake, kijana wetu hakutetereka zaidi sana akazidi kishine, sasa my POINT is, sio nyie mliokuwa mnampamba mfalme wenu kuwa yeye sii wakutegemea kick toka kwa wanawake???? kuwa your king got enough talent to make him run nasio wakutegemea vipromo uchwara????? NOW????? mbona kaenda kuomba support toka kwa wanawake??? tena kwa wale wale mliokuwa MNAMCHAMBA NAO DIAMOND????? nyie ndio WANAFKI WAKUBWAAAAAAAA!!
Hawana jipya hao wakujidai international hawataki tuzo za nyumbani sasa ivi kujiliza Liza huku jf wanaonewa wivu.
Walivo na machungu sasa wanaandika magezeti marefu hafu hawana point muhimu. Sijui hawajui kufupisha kwa kuandika point muhimu wao kuzunguka wewe hafu wana malizia na Kiba ka hawasumbui mbona wanahangaika naye.
Hawana jipya hawa lack of exposure and their thinking capacity ziko low ka za kuku vile.
Diamond anabahatisha kila kitu coz hajui akae upande upi!! Alianzia kuchana,akaja bongoflava zile,mara kwaito,mnanda,taarabu,mwisho wa siku itakuwa daimondo vs bony mwaitege!!! Hahaha
Mwaka huu hakuna rangi mtakosa kuona, na tuna mpango wa kuwakimbiza hadi kwenye killi na sijui mtatoa sababu gani!