Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Wewe mburula sana kila msanii lazima ajikampenie, ni sawa na.kina lina walivyotumia clouds na yeye kaona wema ni channel nzuri, why not!! Mbona dai alikuwa akikampeniwa na jestina blog hahahhahah mwisho wa siku nani kala tuzo??
So marketing strategies zote hapa Bongo mwenye haki ya kuzitumia ni domo peke yake?
Like seriously?
Miwivu mingine bwana ni ya kichawi sana
MANGE KIMAMBI NA MASHABIKI WA DOMO NI MAPACHA!
Very selfish,
Very childish,
Washamba fulani ivi amazing!
Walisema Kiba kamwiga dai kwenda south...kaiga iki kaiga kile...kaah!
Yani hata kukojoa huku amesimama watasema Kiba kaiga!