Eti baba lao!!halafu FA na AY,PROFESA J na JIDE wasemeje???!hatulazimishi lifestyle ya kiba iwe vipi ila tunataka Muache kuudanganya umma na kulazimisha diamond asikubalike!
Sisi wote humu ndani tulikuwa fans wa KIBA!Wakati huo Diamond hatumjui!kiba mwenyewe kwa matakwa yake alikaa chini kwa muda mrefu!!akaibuka na collabo za kuwatoa Underground kina PRINCE SESEME,Na kumwinua mdogo wake ABDU,ALLY akapotea kwa mapenzi yake huku watu wakimuhitaji!!
Narudia tena kusema mziki ni wakati!!wakati wako ukishapita umepita!usikatae kwamba eti Ally hajaporomoka kimuziki unakosea!
Kutoka kufanya collabo ya kidunia ya ONE8 na Kina R-KELLY Mpaka leo hii kuomba Wema amuombee kura ili ashinde!!hili ni ANGUKO la aibu!!!
Kula like mkuu,umeongee nadhan wamekosoma.Waache kulazimisha mambo.