Jack Daniel's
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 1,008
- 835
Hebu subirini kwanza:
Wema ameenda 'kujisafisha' kwa wale waliotafsiri support yake kwa Kiba kama kisasi au Wivu kwa Diamond.
Sidhani kama Wema alijua kuwa atatafsiriwa na TeamD kuwa bila yeye Kiba hawezi ku-shine.
Inaonekana Kiba aliomba support kwa watu wengi na sio kwa Wema tu. Kiba alifanya hivyo ili kuchukua mashabiki wa Wema na waliokuwa mashabiki wa Diamond enzi zake na Wema. Hamna tatizo, ni 'strategy' tu.
Kiba alikosea kupumzika kwa miaka mitatu akifikiri huu mziki unamsubiri yeye, hakufikiria kama kuna mtu (Diamond) atainuka na kumpita yeye. Sijui anavyojiskia kuhusu hilo.
Kiba anatakiwa kuchukulia kung'ara kwa Diamond kama changamoto kwake kimziki, ili na yeye afanye mambo makubwa.
Sina uhakika kama Kiba atachukua tuzo nyingi za Kili kumpita Diamond, sioni kama hilo linatokea kwa tuzo za mwaka huu.