Kumbe Ali Kiba aliomba msaada kwa Wema kumkabili Diamond! Wema atoboa

Kumbe Ali Kiba aliomba msaada kwa Wema kumkabili Diamond! Wema atoboa

Wewe mburula sana kila msanii lazima ajikampenie, ni sawa na.kina lina walivyotumia clouds na yeye kaona wema ni channel nzuri, why not!! Mbona dai alikuwa akikampeniwa na jestina blog hahahhahah mwisho wa siku nani kala tuzo??

So marketing strategies zote hapa Bongo mwenye haki ya kuzitumia ni domo peke yake?
Like seriously?
Miwivu mingine bwana ni ya kichawi sana
MANGE KIMAMBI NA MASHABIKI WA DOMO NI MAPACHA!
Very selfish,
Very childish,
Washamba fulani ivi amazing!
Walisema Kiba kamwiga dai kwenda south...kaiga iki kaiga kile...kaah!
Yani hata kukojoa huku amesimama watasema Kiba kaiga!
 
alafu utawakuta wakijishauwa sasa tumepiga kuraa sisi ni familia,die hards funs, nawaangaliagaaaaaaa, naona kama nipo pale mirembe kwenye ward ya new admission ambao bado hawajaaza dozi,kuchamba kwiiiingi mwishowe ni unatoka na ma..vi, kila kukicha kujiongeleshaa, pumba tupuuuu hakuna support yoyote wanayotoa kwa matonya wao mpaka, king kabwela wa watu akajionea hapa mtoto wa kiume naumbuka, mbona toka nimekuja na zile mbwembwe za kufuta vumbi sioni dalili ya kutoboa, ikabidi ajiongeze akaona hawa wanaojesebedua kwa kujiita die hard funs hawana lolote sasa nifanyeje, jibu likawa moja tuuuu, ngoja nikopy na kupaste mbinu za RAIS, nyambafuuuuuu unaleta jeuri mbele ya le presidaaaa????? hahahahahahahahaaa NI LAZIMA UFUATE NYAYO ZAKEEEEEEEE AND YEEEEEESSSSS U DID IT, nyonyonyoooo eti kiba anakipaji, embu mwelezeni apeleke kipaji chake BSS huku dunia ni kaziii tuu ndio inayowaweka wanaume mjini.
Avemaria, nifah, Diva Beyonce njooni mcheke jamani.
Kweli tunajishau na kujishebedua na kuchamba na kutokwa ma.vi na kila kitu ila dai sio mwasisi wa matketing skills zote na strategies.Zilianza kitambo sana yeyote ana haki ya kufanya chochote kujiongezea wigo wa mashabiki zake
Kama mashabiki sie tunakukera kwa kupiga kura jiandae sasa kwa kuzirai
There is more to come
Pole kwa jazba.
Take a chill....
 
Last edited by a moderator:
Kazi za kiba unazijua sana usijichetue binti hahhahah jaman campaign lazima why not??! Mwaka jana domo alitumia watu wengi kumkampenia ndo mana mashabiki mwaka huu wakamuuliza, domo mbona hatuoni matangazo baba??!! Hahhaha kiba rusha matangazo kwa chanzo chochote kile watu tujue code zako na tupige kura, tuzo moja inawapeleka mirembe hahahha! Laana ya davido inawatafuna, si mlifurahia tuzo za davido channel o nyinyi, sasa zamu yenu

Nakwambia iviiii, mwaka huu tutatumia social networks zote, media zote, models wote, tutajitangaza kote, tutafanya show kote hadi mapango ya handeni maadam hatuvunji sheria.
Mpaka kieleweke.
Hawa mburula hawashindwi kusema dai ndo anapaswa kutumia media peke yake.
Pyeee! Mpaka kielewekeeew
 
"The boy can really sing"....this is her ex we are talking about...

Hmmm... Interesting.
 
Yani Mange Amewaambukiza team domo gonjwa baya sana liitwalo donda wivu.
Poleni sana.Mtapumulia oxygen mwaka huu, this is just the beginning.
Kama Kiba sio level intaneshino za mzee wa DNA kwa nini mnahangaika na mambo anayoyafanya?
Ahsante kwa publicity.
Mnatusaidia sana.
 
Exactly! Thats their point!
Na kwa sasa ukisema Zari ndio mafanikio ya Dai utakosea?
Etu wanasema Ali kiba anakomaa na wanawake wa WENZIE!
Absurd! Childish!
So Diamond alipopigiwa promo na team Wema kipindi kile it wasnt a big issue kabisa, ila now kwa vile ni Kiba imekuwa aibu?
Jamani unafiki ni gonjwa baya sana.
Inaonekana raisi anatetereka kwa kukosa mass support ya Wema Sepetu....na bado, mpaka anywe damu ya paka mwaka huu.
Nasema iviii, go kiiing! Hata ukijipa marketing kwa matangazo ya show zako insta watasema umegeza....

tatizo team kiba mnajisahau sana, nyie ndio kutwa hamkuisha kusema diamond anasafiria nyota ya wema, na yeye kama yeye hawezi if not kwa kusafiria na nyota ya wema, hamkuishia hapo mkasema hata zile tuzo 7 alizipata kwa msaada wa wema, yeye hana jeuri ya kupata tuzo kwa nguvu zake mwenyewe, sasa kinachowauma ninyi tukiseka tuzo aliopata na atakazo pata kiba ni kwa hisani ya wema na sio yeye au ninyi mashabiki zake ni kitu gani?? sio ndio v/s imekuwa true au??? team wema wakaingilia nao na kuanzisha movement ya bring back our wema, sasa kama ujuavyo Mungu hanywi uji has answered your prayer now wameachana na kwa vile wengi walikuwa wanaamini dai bila wema hawezi wakatabiri anguko lake, kijana wetu hakutetereka zaidi sana akazidi kishine, sasa my POINT is, sio nyie mliokuwa mnampamba mfalme wenu kuwa yeye sii wakutegemea kick toka kwa wanawake???? kuwa your king got enough talent to make him run nasio wakutegemea vipromo uchwara????? NOW????? mbona kaenda kuomba support toka kwa wanawake??? tena kwa wale wale mliokuwa MNAMCHAMBA NAO DIAMOND????? nyie ndio WANAFKI WAKUBWAAAAAAAA!!
 
yaani team kiba nyie ni wanafki wa kutupwa, hivi kweli nyie leo hii ndio wakusema eti KUNA UBAYA GANI WEMA AKIMSUPPORT KIBA???? KWELI???? mmesahau mlivyokuwa mnamnanga diamond kisa wema??? leo hii yamewarudia, mnaleta unafki wa kupooza, sasa maana ya king na mashauzi yote yale yalikuwa ya nini if he can not stand by his own, na niyi mashabiki zake??? kaona maji yamemfika shingoni akaamua kuapply strategic zile zile mlizokuwa mnaziponda tena kwa vichambo vya haja, kweli team kiba na kiba mwenyewe mmekosa haya aiseee!!! na KTMA asipoendelee kumpigia wema magoti hatoboiiiii!!! ndio hapo sasa mtakapojua kutofautisha kipaji na kick.
 
Avemaria, nifah, Diva Beyonce njooni mcheke jamani.
Kweli tunajishau na kujishebedua na kuchamba na kutokwa ma.vi na kila kitu ila dai sio mwasisi wa matketing skills zote na strategies.Zilianza kitambo sana yeyote ana haki ya kufanya chochote kujiongezea wigo wa mashabiki zake
Kama mashabiki sie tunakukera kwa kupiga kura jiandae sasa kwa kuzirai
There is more to come
Pole kwa jazba.
Take a chill....

Hawana jipya hao wakujidai international hawataki tuzo za nyumbani sasa ivi kujiliza Liza huku jf wanaonewa wivu.
Walivo na machungu sasa wanaandika magezeti marefu hafu hawana point muhimu. Sijui hawajui kufupisha kwa kuandika point muhimu wao kuzunguka wewe hafu wana malizia na Kiba ka hawasumbui mbona wanahangaika naye.
Hawana jipya hawa lack of exposure and their thinking capacity ziko low ka za kuku vile.
 
Last edited by a moderator:
Leo mnamuomba Wema msamaha kiujanja eeeh mlivokua mwajifanya kumsifia Zari mliona mumefika eeeh hahaaaa na kumtukana Wema matusi yote sasa ivi munamwandika kiustaarabu.
Hahaaaaa ndo mana watu hutakiwa kuwa na akiba ya maneno. Ndo tatizo LA kutokufikiri nje ya box na kupima mambo kwa sides mbili negative and positive.
Hafu mlivo finyo wa kufikiri eti katumia strategy zile zile alizotumia. Hamjui au mumesahau kuwa duniani hamna jipya yote marudio sasa kulia lia nini tuzo mlizibeza baada ya kutoswa BET ndo mumeanza kujipiza mkome Ku kurupuka oooh tuzo hatutaki sisi wa kimataifa. Mchawi wa mtu ni mtu mwenyewe kajipangeni na vimaneno vyenu vya shombo. Hamna jipya wazee wa sizitaki hivi mbivu. Mswahili ni mswahili tu na Tabia ni ka ngozi.
 
Zari ni Zari na hakunaga

Zari ni bonge la Mrs. Naseeb

Hakunaga ni wifi

Amekuja bongo amenyanyua fikra za wengi siku hizi tunaona nao wana host mara wana hivi

Mtaingea mtakalo ila Zari bado namba moja the Mrs Diamond Platnumz

Wema hawezi kutetewa wala kufurahiwa bado anampenda chubi anatamani awe nae hata sekunde hii

Sasa mtu asiyrmpenda mtu atashinda anatuma wafuasi wamponde kwa kila kona? Na wafuasi nao wameona W anaumia roho so nao wanasaidia wakizani wakimshisha D atataka kuwa nae

Kumba D ndio huyooooooooooo alishafika mbali na mizigo yake aliyogungiwa alipobwagwa.

So kucheka tutacheka Kiba anajua kilichomo bila omba omba hana kitu, kijana mvivu sana yaani anakaa ja kutaka hiki na kile kiwe.

Hivi tuzo hiyo imempa shs ngapi?
Yaani imemwingizia shs ngapi tangu ashinde?

TV, redio etc rusheni basi nasi tusipitwe nae kuaangalia anavyoongelea kazo zake za kujivunia mwaka jana na mwaka huu.

Mshaurini afanye yake

Diamond upo juuu kula bata tafuta tafuta ukistaafu unapumzika kwa raha zako
 
Hakuna jipya sana cha ajabu hapo kila mtu ana Uhuru wa kufanya atakacho. After all nothing new under the sun.
Na wengine wangeomba nao wangepewa tu kwani yeye ni wa kwanza kuomba msaada. Tena nampongeza kwa kuomba apostiwe mana sio dhambi.
wengine si walikataa jamani au??? hongera Kiba kwa tuzo za kuomba
 
[QUOTE=umejuaje anashindana? Je amewahi kukutamkia hadharani kuwa yeye anafanya mziki kushindana?
Nabaki pale umejuaje kiba anajipima na Domo na kujipima naye. Kwani ni kiba tu anayefanya mziki nchi hii? Sioni mantiki hapo eti anashindana kwahyo unataka asifanye mziki kisa unampenda mond.

Mkuu km kweli una uwezo wa kufikiria beyond the box...I refer you to go and watch Sporah Show interview with Ali Kiba like never before.Kaa uyackilize vema maneno ya Ali Kiba kayika iyo interview utagundua dhana ya ushindani wake kimuziki na diamond...kuna maneno km 'amekalia kiti kingine bt it is a black seat', 'nimekuja kufuta vumbi kiti changu'etc. Ukimaliza kuangalia n kuckilza kwa umakini uje na majibu ya kueleweka apa!
 
Kazi za kiba unazijua sana usijichetue binti hahhahah jaman campaign lazima why not??! Mwaka jana domo alitumia watu wengi kumkampenia ndo mana mashabiki mwaka huu wakamuuliza, domo mbona hatuoni matangazo baba??!! Hahhaha kiba rusha matangazo kwa chanzo chochote kile watu tujue code zako na tupige kura, tuzo moja inawapeleka mirembe hahahha! Laana ya davido inawatafuna, si mlifurahia tuzo za davido channel o nyinyi, sasa zamu yenu

Maneno naona mengi listi kazi zake?

mbona unalazimisha sio lazima nimjue.
 
Back
Top Bottom