AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Amedrop vibaya sana huyu Kiba
poa mamii nkutakie ucku mwema
Kweli kadrop ndiomana juzi kawachapa kichapo cha mbwa mwizi kwetu za watu,
Subiri KTMA ndo mtaelewa hahahhaha ila msije kulialia tena humu.
ahhhaaaa!ngoja nilale aisee maana muda umekwenda!see you next time!!love you
Waache wahorojeke tu hapa.
Sisi tunapiga kura.
Mada za kijinga kijinga....uwoga usio na maana.
Mkiambiwa team kiba mna matusi mnakataa pole aisee narudia tena sikumaanisha kukupanikisha so plzzz nisamehe sijuagi kutukanana am sory mademe jaman ila mshushuo wa wema umekuingia vizuri nashukuru kwa hilo
Mama ushabiki ukizidi sana unakua ni kama utoto ujue.
Na kuua tena?
Akatoe asante kwa x wa Mondi
Hii team kwa magazeti hawajambo, sio wanawake sio wanaume.
Lala usingizi mnono na uburudike na lisongi la Diamond Plutnumz - Lala Salama; tuna kila aina ya nyimbo tamu dah. Lov u
Naona wameshaanza kuelewa kuwa kimbunga cha King kinatisha mwanzo walijipa moyo kuwa ni upepo tu unapita ila sasa mpaka paa la nyumba limeanza kubebwa ndo wanashtuka, hahahhaha
Hakuna ubaya. Lkn nahisi hakutarajia wema kuja kuongea kwenye media kua kiba aliomba. Alijua itaishia juu kwa juu
hahah mzee wa kuomba kick... Wema na yeye amepata aibu .. maana kila siku akitemana na Dai yeye anazidi kushuka Dai anazidi kupanda .. hivyo akaona isiwe tabu ngoja amuumbue mchawi ili ajisafishe kutokana na Aibu aliyoipata kwa hadhira
daah ndo nafika jamani
eti niulize kuna ubaya kiba kumuomba wema ampigie promo...?!!!!au vp jamaniiiii....!!!
Mama ushabiki ukizidi sana unakua ni kama utoto ujue.
Na kuua tena?
Mechanism defense hizo, tulie mnyolewe kelele za nini? Kwanza nimesahau nyie wenzentu mlisema tuzo za ndani sio hadhi yenu bali nyie hadhi yenu ni tuzo za kimataifa kama BET, MTV hahahhaha sasa kwanini mnaanza tena kulialia au umeona hiyo taarabu mliomba na khadija kopa haiwezi kuwapeleka tena BET?
#WAMEANZAKUELEWA
Wazee wa DNA hahahaaaaaaa tupaa kulee.
Nafurahi sana nikiona kiba anavyowatoa jasho
Safari hii lazima mtuelewe, nashukuru Mungu somo limeanza kueleweka maana kelele zote hizi si kawaida hahahhaha
kuna uzuri.. akimaliza akamuombe na penny