love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Hao wakina mseven wangekuwa kolokoloni kitambo kama ICC ingekuwa inafanya kazi kwa mawazo yakoUkitazama mienendo ya wateule wake na watendaji wengine waliokuwa chini yake hasa ktk nyanja ya kuvunja haki za binadamu yakiwemo matendonya kuteka watu nyara, kupora, kubaka, kubambikia watu kesi kubwakubwa, uhujumu uchumi, wizi wa mali na mateso memgine huku ukiwahoji wanadai ni maagizo kutoka juu.
Asilimia kubwa inaonesha kama ICC wangepokea Mashtaka dhdi yake Hayati Magufuli kwa ukatili uliofanyika wakati wa uchaguzi 2020 na matukio mengine saa hizi angekuwa analia na kusaga meno Mikononi mwa Gereza la kimataifa.
Ushahidi umetimia kwa Sabaya.
Washakula Pesa nzuri ya mauzoShetani kafungwa minyororo kwann wasirudi
Kwanza hujui kazi ya ICC unacopy na kupaste tu. Unafikiri makosa ya ukatili wa binadamu ni kuwashughulikia fisadi na wanyonyaji kwenye jamii? Unasahau madhila wanayopata umma kwa vitendo vya dhulumati. Hakika kesi za ukatili kwa binadamu zingewashukia hawa dhulumati wa kiuchumi kwa binadamu. Mumekalia kalaka bao tu wala hamjui.Ukitazama mienendo ya wateule wake na watendaji wengine waliokuwa chini yake hasa ktk nyanja ya kuvunja haki za binadamu yakiwemo matendonya kuteka watu nyara, kupora, kubaka, kubambikia watu kesi kubwakubwa, uhujumu uchumi, wizi wa mali na mateso memgine huku ukiwahoji wanadai ni maagizo kutoka juu.
Asilimia kubwa inaonesha kama ICC wangepokea Mashtaka dhdi yake Hayati Magufuli kwa ukatili uliofanyika wakati wa uchaguzi 2020 na matukio mengine saa hizi angekuwa analia na kusaga meno Mikononi mwa Gereza la kimataifa.
Ushahidi umetimia kwa Sabaya.
Mungu ni mjuziYani hayo majangili yalikuwa yanabambikia watu kesi ambazo kimsingi wao ndio walikuwa wanazifanya. Shenz type.
Usiwe mjinga na YEYE yumo sema wanabadilisha staili kuwazuga, wamemtoa kafara Sabaya kuwafumba macho, huku wakiendeleza yaleyaleMdogo mdogo tutafika. Watakimbia nchi.
Mama alikuwa anawachora tu. Uzuri wote wanajulikana
Wewe jamaa Leo sisomi comment nyingine hii inanitoshaAu kale kazee kaliishtuka kakaona isiwe tabu kakameza sumu? Kale kajamaa kalikuwa kajanja kama sungura
Ogopa sana mungu maana anajua jinsi ya kuwaokoa watu wake.Ukitazama mienendo ya wateule wake na watendaji wengine waliokuwa chini yake hasa ktk nyanja ya kuvunja haki za binadamu yakiwemo matendonya kuteka watu nyara, kupora, kubaka, kubambikia watu kesi kubwakubwa, uhujumu uchumi, wizi wa mali na mateso memgine huku ukiwahoji wanadai ni maagizo kutoka juu.
Asilimia kubwa inaonesha kama ICC wangepokea Mashtaka dhdi yake Hayati Magufuli kwa ukatili uliofanyika wakati wa uchaguzi 2020 na matukio mengine saa hizi angekuwa analia na kusaga meno Mikononi mwa Gereza la kimataifa.
Ushahidi umetimia kwa Sabaya.
Bado MakondaHe was an engineer of almost all evils
Namuona DAB akitetemeka baada ya mwenzake kuhukumiwaYani hayo majangili yalikuwa yanabambikia watu kesi ambazo kimsingi wao ndio walikuwa wanazifanya. Shenz type.
Inawezekana ndiyo maana Bashite hakuguswa wakati wa vyeti feki maana alikuwa na kazi maalum isiyo hitaji vyetiHarafu wakawa wanapongezwa eti ndio wazalendo hao Majahili
Haijalishi kama imesukwa au ni ya ukweli.Ngoma inaendelea kusukwa, ikianza kupigwa hakuna budi wote kuicheza na kuifurahia kama hii ndogo inavyopigwa sasa.
He was an engineer of almost all evils
Ila binadamu wengine haaa! Walimpamba vikali ili mradi waende kwa choo. Leo hii wamegeuka kama hawakuwepo.Ukiona jambazi anampongeza mtu fulani kwa kazi nzuri ujue kuwa anayepongezwa anafanya vizuri katika ujambazi.
Utawala ule wa marehemu ulikuwa ni wa kijambazi, hivyo wote aliokuwa akiwapongeza ni wale waliokuwa wakifanya vizuri katika ujambazi wao.
Dunia hii ina maajabu sana. Wao ndio walimponza huenda hadi leo angekuwa haiIla binadamu wengine haaa! Walimpamba vikali ili mradi waende kwa choo. Leo hii wamegeuka kama hawakuwepo.
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Huenda angekuwa gerezaniKama angekuwepo hai si angelikuwa Rais hadi sasa
Wakoloni waliokuwa wanawatukana Waafrika hivyo.Hivi hili neno 'shenz type' huwa lipo? Maana toka enzi linatumika tokea miaka ya 70 nilikuwa namsikia bibi analitumia ahahahahahhahaha au 'shwaini'