Kumbe Aliponea Chupuchupu: Kama Kesi ingepokelewa ICC saa hizi Magufuli angekuwa jela

Ukitazama mienendo ya wateule wake na watendaji wengine waliokuwa chini yake hasa ktk nyanja ya kuvunja haki za binadamu yakiwemo matendonya kuteka watu nyara, kupora, kubaka, kubambikia watu kesi kubwakubwa, uhujumu uchumi, wizi wa mali na mateso memgine huku ukiwahoji wanadai ni maagizo kutoka juu.

Asilimia kubwa inaonesha kama ICC wangepokea Mashtaka dhdi yake Hayati Magufuli kwa ukatili uliofanyika wakati wa uchaguzi 2020 na matukio mengine saa hizi angekuwa analia na kusaga meno Mikononi mwa Gereza la kimataifa.

Ushahidi umetimia kwa Sabaya.
Hao wakina mseven wangekuwa kolokoloni kitambo kama ICC ingekuwa inafanya kazi kwa mawazo yako
 
Ukitazama mienendo ya wateule wake na watendaji wengine waliokuwa chini yake hasa ktk nyanja ya kuvunja haki za binadamu yakiwemo matendonya kuteka watu nyara, kupora, kubaka, kubambikia watu kesi kubwakubwa, uhujumu uchumi, wizi wa mali na mateso memgine huku ukiwahoji wanadai ni maagizo kutoka juu.

Asilimia kubwa inaonesha kama ICC wangepokea Mashtaka dhdi yake Hayati Magufuli kwa ukatili uliofanyika wakati wa uchaguzi 2020 na matukio mengine saa hizi angekuwa analia na kusaga meno Mikononi mwa Gereza la kimataifa.

Ushahidi umetimia kwa Sabaya.
Kwanza hujui kazi ya ICC unacopy na kupaste tu. Unafikiri makosa ya ukatili wa binadamu ni kuwashughulikia fisadi na wanyonyaji kwenye jamii? Unasahau madhila wanayopata umma kwa vitendo vya dhulumati. Hakika kesi za ukatili kwa binadamu zingewashukia hawa dhulumati wa kiuchumi kwa binadamu. Mumekalia kalaka bao tu wala hamjui.
 
Mdogo mdogo tutafika. Watakimbia nchi.

Mama alikuwa anawachora tu. Uzuri wote wanajulikana
Usiwe mjinga na YEYE yumo sema wanabadilisha staili kuwazuga, wamemtoa kafara Sabaya kuwafumba macho, huku wakiendeleza yaleyale
 
Ukitazama mienendo ya wateule wake na watendaji wengine waliokuwa chini yake hasa ktk nyanja ya kuvunja haki za binadamu yakiwemo matendonya kuteka watu nyara, kupora, kubaka, kubambikia watu kesi kubwakubwa, uhujumu uchumi, wizi wa mali na mateso memgine huku ukiwahoji wanadai ni maagizo kutoka juu.

Asilimia kubwa inaonesha kama ICC wangepokea Mashtaka dhdi yake Hayati Magufuli kwa ukatili uliofanyika wakati wa uchaguzi 2020 na matukio mengine saa hizi angekuwa analia na kusaga meno Mikononi mwa Gereza la kimataifa.

Ushahidi umetimia kwa Sabaya.
Ogopa sana mungu maana anajua jinsi ya kuwaokoa watu wake.
 
Hukumu ijayo itageuza furaha yooote ya nyie mnaoongea mengi saaahivi time will tell
 
Ngoma inaendelea kusukwa, ikianza kupigwa hakuna budi wote kuicheza na kuifurahia kama hii ndogo inavyopigwa sasa.
Haijalishi kama imesukwa au ni ya ukweli.

La msingi mtu tayari kahukumiwa na itabakia kwenye record kuwa alisha hukumiwa kwa ujambazi
 
Yule baba wa mavumbini amewaumiza watu wengi kwa sababu ya hasira ya kutelekezwa na baba yake
 
Ukiona jambazi anampongeza mtu fulani kwa kazi nzuri ujue kuwa anayepongezwa anafanya vizuri katika ujambazi.

Utawala ule wa marehemu ulikuwa ni wa kijambazi, hivyo wote aliokuwa akiwapongeza ni wale waliokuwa wakifanya vizuri katika ujambazi wao.
Ila binadamu wengine haaa! Walimpamba vikali ili mradi waende kwa choo. Leo hii wamegeuka kama hawakuwepo.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom