Kumbe Aliponea Chupuchupu: Kama Kesi ingepokelewa ICC saa hizi Magufuli angekuwa jela

Ogopa sana mungu maana anajua jinsi ya kuwaokoa watu wake.
Kwahiyo mungu wenu aliwaokoa na sasa hivi mnainjoi maisha?

Sasa wale wakimbizi wenu kule kwa akina amsterdam mbona hawarudi?
 
Aisee!
 
Kutumbuliwa kubaya naona akili yako bado haijakawa sawa kabisa. ICC haipokei minor case kama hiyo ndugu muulize mzee wa MIGA atakupa muongozo.
 
Kujipiga risasi mwenyewe.Ni kitendo cha kumpiga risasi anaekukosoa matokeo yake Mungu anamuokoa anakuchukua wewe.
 
Kule walipigwa na mafia so hawezi tia pua.
First choice ni South Africa
Huyu jamaa lazima atoroke maana historia yake inaonyesha kuna ukaribu sana na mfungwa wa pale karanga
 
Jiwe alitaka tuishi Kama mashetani(RIP)
Jiwe na sokoine walikuwa na chuki na waliofanikiwa kama ulilelewa kwenye umasikini usilazimishe watz wote wapitie uliyopita.
Mungu uwapa watu utajiri Ili masikini apate nafuu,we ni nani umkosoe.
 
Sabaya kwa nje anacheka lakini ndani ana maumivu makali sana
Inawezekana wanatengeneza mchongo wamtoe,wampeleke hata Mozambique akaishi na mchumba wake,liletabasamu si haba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…