Kumbe Aliponea Chupuchupu: Kama Kesi ingepokelewa ICC saa hizi Magufuli angekuwa jela

Nina hakika hata Kama asinge fariki, na miaka ikapita bado siku moja angetokea mtawala anaye chukia maovu , Ange mburuta korokroni tu. Huyu mzee akishirikiana na genge lake la uhalifu wali watendea watu wengi ukatili usio vumilika kabisa.
This was expected
 
Ukitazama mienendo ya wateule wake na watendaji wengine waliokuwa chini yake hasa ktk nyanja ya kuvunja haki za binadamu yakiwemo matendonya kuteka watu nyara, kupora, kubaka, kubambikia watu kesi kubwakubwa, uhujumu uchumi, wizi wa mali na mateso memgine huku ukiwahoji wanadai ni maagizo kutoka juu.

Asilimia kubwa inaonesha kama ICC wangepokea Mashtaka dhdi yake Hayati Magufuli kwa ukatili uliofanyika wakati wa uchaguzi 2020 na matukio mengine saa hizi angekuwa analia na kusaga meno Mikononi mwa Gereza la kimataifa.

Ushahidi umetimia kwa Sabaya.
Nashangaa CCM waliwezaje kumpa madaraka makubwa kichaa kama yule
 
Mungu ni mwema wazee wa escrow na uhamsho wametoka nafasi yao watachukua sabaya na bashite.
Nao waonje sabaya
Yule mzee Ruge kawalaani. Wakaone ka.a ni patamu. Kuliwa na mbu usiku kucha usiombe
 
Ukitazama mienendo ya wateule wake na watendaji wengine waliokuwa chini yake hasa ktk nyanja ya kuvunja haki za binadamu yakiwemo matendonya kuteka watu nyara, kupora, kubaka, kubambikia watu kesi kubwakubwa, uhujumu uchumi, wizi wa mali na mateso memgine huku ukiwahoji wanadai ni maagizo kutoka juu.

Asilimia kubwa inaonesha kama ICC wangepokea Mashtaka dhdi yake Hayati Magufuli kwa ukatili uliofanyika wakati wa uchaguzi 2020 na matukio mengine saa hizi angekuwa analia na kusaga meno Mikononi mwa Gereza la kimataifa.

Ushahidi umetimia kwa Sabaya.
Kweli kabisa Kama mahakama hiyo ni ya ukoo wenu.
 
Back
Top Bottom