Stendi iliyojengwa kisiasa zaidi, Singida stendi ni kubwa kuliko Mbezi, la msingi kwa stendi ni eneo la mabasi siyo show OFF za kibashite za majengo.Stand inachukua MABASI machache kuliko ilivokuwa UBT
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Johny was goodMagufuli hakujenga system alijiamini yeye kama yeye. Sasa hii ndio shida sasa.
Lakini mkubwa haambiwi tazama.Ni vigumu kama hakuwaweka karibu nae.Hata wazazi wasipoweka mifumo imara kwa familia kila kitu hupotea pending wanapokufa.Tujifunze kuanzia ngazi ya familia
... serikali ya Magufuli!
Ahaaa, ndugu kama ulipoteza vijisenti basi sahau. Hata ngoma ikirudiwa hutoboi.
Embu tuambie kidogo namna ya kujenga system na sisi tujue.Magufuli hakujenga system alijiamini yeye kama yeye. Sasa hii ndio shida sasa.
Hata yeye kujiamini kwake kulitokana na inferiority complex aliyekuwa nayo. Watu wenye mapungufu hupenda kujifanya wana uwezo mkubwa na nguvu. Kumbe ni kinyume chakeMagufuli hakujenga system alijiamini yeye kama yeye. Sasa hii ndio shida sasa.
Kule juu wanapokata ticket wameka vimeza kama wauza peremende no vyumba kama ile ya dodoma🤣 yaani vurugu tupuKiukweli hayati Magufuli aliogopwa yeye binafsi na wala siyo utawala wake kwa sababu kuna maeneo mambo ni vurugu tupu lakini watendaji ni wale wale.
Nimefika Magufuli Bus Terminal utaratibu wa ukataji tiketi na mpangilio wa mabasi ni hovyo kabisa.
Kwenye parking ya mabasi yaani wanapaki hadi barabarani na kuzibiana njia, basi la kuondoka saa 12 asubuhi linaweza kuondoka saa 1:15 kwa sababu tu ya kuzibiwa njia na mabasi mengine.
Mkuu wa mkoa liangalie hili.
Pili kwa sababu parking ina uwezo wa kuchukua mabasi 108 na mabasi yanayotoka asubuhi ni zaidi ya 200 basi yaruhusuni mabasi yanayoanzia Shekilango yasiingie hapo stendi kuu Mbezi.
Eid Mubarak!
Wenyewe wanaita ofisini!Kule juu wanapokata ticket wameka vimeza kama wauza peremende no vyumba kama ile ya dodoma🤣 yaani vurugu tupu
Hebu peleka puuz hukoWanadamu na ubinafsi, ili uwabadlishe lazima uwe mwamba kwelikweli
Sasa hivi huko Nyerere atakua anamwambia hata yeye alisalitiwa hivyo hivyo kwenye falsafa ya ujamaa
Gadafi nae anamkumbusha vile yeye alifanya mema sana kwa watu wake tena kwa miaka mingi lakini walimuua
Endelea kupumzika kwa amani kipenzi chetu John Pombe Magufuli, Mwamba, Shujaa na rais wa karne
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
Vipi pale Chato airport, utaratibu ukoje?Kiukweli hayati Magufuli aliogopwa yeye binafsi na wala siyo utawala wake kwa sababu kuna maeneo mambo ni vurugu tupu lakini watendaji ni wale wale.
Nimefika Magufuli Bus Terminal utaratibu wa ukataji tiketi na mpangilio wa mabasi ni hovyo kabisa.
Kwenye parking ya mabasi yaani wanapaki hadi barabarani na kuzibiana njia, basi la kuondoka saa 12 asubuhi linaweza kuondoka saa 1:15 kwa sababu tu ya kuzibiwa njia na mabasi mengine.
Mkuu wa mkoa liangalie hili.
Pili kwa sababu parking ina uwezo wa kuchukua mabasi 108 na mabasi yanayotoka asubuhi ni zaidi ya 200 basi yaruhusuni mabasi yanayoanzia Shekilango yasiingie hapo stendi kuu Mbezi.
Eid Mubarak!
HhhhhhhhhMagufuli alikuwa na rundo la hirizi zilizokuwa zinawatisha mpaka kina Kinana sasa huyu mvaa ushungi kazi anayo
Na lazima mama akubali lawama itakapobidi kwani sehemu nyingi taratibu zilivunjwa ili mtu mmoja apendwe, sasa ili sheria ndio zisimamie lazima kuna kilio tu kwa watu, mfano hai ni tatizo la wamachinga!!ki ukweli imekuwa kero, na waendesha bajaji mikoani tofauti na dar kutaka kufanya kazi za daladala!!wakati sheria hazisemi hivyo!!lakini wakiambiwa wafuate sheria utasikiaa, baba yetu magufuli tunaanza kunyanyaswa!!!Bi Samia ana kibarua kigumu mbele yake, inaweza kuchukua karibia miezi 18 kuweza kurudisha Utawala wenye kufuata Sheria na taratibu za Nchi, Magufuli alifanya kazi yeye kama yeye na hakuzingatia maisha ya raia wengine kwa kupuuza au kuzifutilia mbali taratibu za mipango miji.
Katiba ikiwa nzuri itaheshimika tu, kumbuia watu wanaidharqu katiba kwa kuwa ina mapengo mengi na kwa upande fulani inategemea utashi wa mtu mmoja.Katiba mpya iendane na utamaduni wa kuheshimu katiba kinyume na hivyo yawezakuwa ni kazi bure.
Hebu peleka puuz huko
Sambona hawajabadilika pamoja na umwamba kweliWanadamu na ubinafsi, ili uwabadlishe lazima uwe mwamba kwelikweli