UHURU JR JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 16,543 Reaction score 7,880 May 13, 2021 #81 t blj said: Katiba ikiwa nzuri itaheshimika tu, kumbuia watu wanaidharqu katiba kwa kuwa ina mapengo mengi na kwa upande fulani inategemea utashi wa mtu mmoja. Click to expand... Hatuna utamaduni wa kuheshimu katiba tusisingizie aina ya katiba sijui ikija katiba mpya ndio watu watakuwa na huo utamaduni ambao hawakonao sasa.
t blj said: Katiba ikiwa nzuri itaheshimika tu, kumbuia watu wanaidharqu katiba kwa kuwa ina mapengo mengi na kwa upande fulani inategemea utashi wa mtu mmoja. Click to expand... Hatuna utamaduni wa kuheshimu katiba tusisingizie aina ya katiba sijui ikija katiba mpya ndio watu watakuwa na huo utamaduni ambao hawakonao sasa.