Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watendaji timizeni wajibu wenu,msiwe watu mnaohitaji kupigiwa kelele kila siku eti tu kwasababu flani alikuwa mkali hayupo na nyie mnalala.Na jambo kama hili halihitaji hata Raisi,kwani mkuu wa mkoa,wakurugenzi na mamlaka nyingine husika wanafanya kazi gani...?
Wanadamu na ubinafsi
Sasa hivi Nyerere atakua anamwambia hata yeye alisalitiwa hivyo hivyo kwenye falsafa ya ujamaa
... serikali ya Magufuli!Kujenga mfumo imara kupitia CCM haiwezekani.CCM wanajua wazi kwamba km wakijenga taasisi na mifumo imara ndio utakuwa mwisho wao. Magu alitambua hilo ndio maana akaamua kutumia nguvu yake binafsi kuongoza.
Kwani Wazungu waliposema watoto wasipigwe bakora shuleni walikuwa wajinga? Walijuwa kuwa binadamu unatakiwa uwajengee system iliyo rahisi kuifata ili iwe endelevu. Walijuwa kuwa kuna Wanafunzi wataonekana wanafanya vizuri kumbe sababu ya kuogopa bakora. Lakini uhalisia ni kuwa akiwa nje ya shule hakutokuwepo mtu wa kumpiga bakora. Na kwa vile alionekana anafanya uzuri shule angeweza kupewa uongozi baada ya shule na kumbe hamna kitu kichwani.
My point is, uongozi sio vitisho. Chagua watu kutokana na uwezo wao wa kuweza kujiendesha wenyewe na kuwaongoza wenziwao. Kama mtu hawezi kujiongoza mpaka akaguliwe na kutukanwa kila siku basi huyo hafai!
Karne ya 21 kiongozi analazimisha kuongoza kianalogia watu muda ni digitali? Ndio maana jazba na matumizi ya Maguvu yakawa makubwa lakini tija ndogo.Hata yeye hakukuta system, alichofanya ilikuwa ndio aina ya uongozi wake kama kulivyokuwa na aina ya uongozi wa Mkapa na JK.
Huyo aliyeleta Uzi aje aangalie watu wanavofikiria sio kila kitu magufuli!! Umemjibu vizur sana!! Mtu unaweza kuwa na nia njema lakini watu wa karibu wakakuharibia na kuona hufaiHivi kweli serikali Ijenge stand ya mabasi halafu Rais aje asimamie mipangilio ya mabasi kweli , halafu mtu unakuja kumlaumu mwendazake hii ni akili matope . Sema ustaarabu hatuna full stop. Tumepewa kitu kizuri tuwe wastaarabu.
Shujaa wa Karne ndo nani? GHADAFI? umeniacha kidgWanadamu na ubinafsi... ili uwabadlishe lazima uwe mwamba kwelikweli
Sasa hivi huko Nyerere atakua anamwambia hata yeye alisalitiwa hivyo hivyo kwenye falsafa ya ujamaa,
Gadafi nae anamkumbusha vile yeye alifanya mema sana kwa watu wake tena kwa miaka mingi lakini walimuua
Endelea kupumzika kwa amani kipenzi chetu John Pombe Magufuli, Mwamba, Shujaa na rais wa karne
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
We need strong system/institutions and NOT strong Person!!!!Magufuli hakujenga system alijiamininyeye kama yeye.Sasa hii.ndio shida sasa
Nisubiri hapo hapo narudi😃😃😃Shujaa wa Karne ndo nani? GHADAFI? umeniacha kidg
🙇♂️Nisubiri hapo hapo narudi😃😃😃
Eti hakujenga system, pathetic!Magufuli hakujenga system alijiamini yeye kama yeye. Sasa hii ndio shida sasa
Kumbuka ki kawaida hapa Bongo kiongozi atajenga system yake anapokuwepo, akimaliza wakati wake ataonekana hafai anakuja mwingine na mfumo wake. Ndo ilivyo kote hata huko katika sekta mbalimbali.Magufuli hakujenga system alijiamini yeye kama yeye. Sasa hii ndio shida sasa.
Katiba mpya iendane na utamaduni wa kuheshimu katiba kinyume na hivyo yawezakuwa ni kazi bure.Ndio maana katiba mpya ni muhimu kuliko kiongozi
Huyu RC si amesifiwa jana humu kuwa hana mfano utendaji wake umetukuka au?Mkuu wa mkoa liangalie hili.
Pili kwa sababu parking ina uwezo wa kuchukua mabasi 108 na mabasi yanayotoka asubuhi ni zaidi ya 200 basi yaruhusuni mabasi yanayoanzia Shekilango yasiingie hapo stendi kuu Mbezi.
Mbona kukosa mpangilio ndio was order of the day ? Watu kufanya biashara na kupanga bidhaa mpaka kwenye road reserves na kwa wapita kwa miguu ndio ilikuwa / bado ni desturi...., Hapo kuna mpangilio wapi ?Kiukweli hayati Magufuli aliogopwa yeye binafsi na wala siyo utawala wake kwa sababu kuna maeneo mambo ni vurugu tupu lakini watendaji ni wale wale.
Nimefika Magufuli Bus Terminal utaratibu wa ukataji tiketi na mpangilio wa mabasi ni hovyo kabisa.
Kwenye parking ya mabasi yaani wanapaki hadi barabarani na kuzibiana njia, basi la kuondoka saa 12 asubuhi linaweza kuondoka saa 1:15 kwa sababu tu ya kuzibiwa njia na mabasi mengine.
Kuna vitu vinahitaji ustaarabu tu wa watu wenyewe, huwa tunasifia mifumo ya uongozi ya wenzetu ila tunasahau kuwa wenzetu wamejinga kwenye ustaarabu zaidi kuliko hiyo mifumo.Ndio maana mnaambiwa JENGENI TAASISI IMARA. ni kama hapo jirani kwa warembo... Wanamuogopa yule Tall tu. We subiri atangulie uone wanatakavyorukiana na kukanyagana.