HOST NOT FOUND
JF-Expert Member
- Dec 30, 2023
- 1,192
- 3,486
Kwa wasabato ni amri ya saba Mkuu.Kwenye Orodha ya Amri kumi za Mungu, USIZINI ni Amri ya Sita..
Asante..
Sio kwa ubaya Mkuu 😁Kwamba kama sisomi biblia siwezi kukuelewesha hapa! Sawa, subiri walengwa waje.
Kwa msingi upi wa kibiblia Mkuu?Shida ni kumtamani... Tayari unakuwa umezini haijalishi hujaoa mkuu
Usizini maana yake nini Mkuu?Uzinzi kwa wenye ndoa, uasherati na uchafu kwa single ( ambao hawaja oa )
Uzinzi, ni kwa wenyewe ndoa. ( Maana yake utombajiii nje ya ndoa ndio uzinzi )Usizini maana yake nini Mkuu?
Kwa maana hiyo amri ya saba, usizini, haiwahusu ambao hawako kwenye ndoa?Uzinzi, ni kwa wenyewe ndoa. ( Maana yake utombajiii nje ya ndoa ndio uzinzi )
amri ya saba ipi tena mbona unachanganya mambo ? amri ya sita uzino nitajie ya saba inasemeajeKwa maana hiyo amri ya saba, usizini, haiwahusu ambao hawako kwenye ndoa?
Asante mkuu! Kwa mjibu waKwa msingi upi wa kibiblia Mkuu?
Kwa msingi upi wa kibiblia, Mkuu,? kwamba "Kuzini ni kuingiliana kimwili kati ya mwanamke na mwanaume nje ya sheria na mpango wa Mungu......"Kuzini ni kuingiliana kimwili kati ya mwanamke na mwanaume nje ya sheria na mpango wa Mungu......
Mpango wa Mungu ni kuoa au kuolewa kwanza ndio ufanye hilo tendo nje na hapo ndio inaitwa zinaa.....
Wajuvi watanisahihisha
Kijana, ukisoma Agano la Kale soma pia na Agano Jipya. Yesu anasema katika Mt 5:28:Nimekuwa nikitafakari kuhusu Amri ya Saba: “USIZINI” (Kutoka 20:14), na hapa ndipo nimekwama kidogo.
Kama kwa maana ya kawaida uzinzi ni mtu aliye kwenye ndoa kufanya tendo la kingono nje ya ndoa, je, hii means vijana ambao hawajaoa/kuolewa hawahusiki kabisa na Amri ya Saba wanapofanya sex?
Kwa mfano, two unmarried people wakifanya tendo la ndoa, Biblia inasema wamezini au wamefanya uasherati? Na kama ni uasherati, kwa nini Amri ya Saba inasema specifically “Usizini” badala ya kusema “Usifanye uasherati”?
Nataka kuelewa hili biblically, not by assumptions. Pia ningependa kujua tofauti halisi kati ya uzinzi, uasherati, zinaa na “adultery/fornication” katika lugha ya Biblia.
Wajuvi wa Biblia na Hebrew/Greek, karibuni mtufafanulie.
Tusibishane kwa hisia; tuangalie context, original meaning na scriptures.
Sidhani kama nimekuwa natafuta “mianya” kwenye maandiko. Swali langu ni la msingi kabisa, kama Biblia inatenganisha uasherati na uzinzi, kwa nini tusijue tofauti yake na maana ya “Usizini” badala ya kuhitimisha tu kwamba yote ni kitu kimoja?Hata wangesema uasherati, ungekuja na uzi kuuliza kuhusu uzinzi.
Pia, soma mizizi saba ya dhambi
Kwa kifupi, fanya mapenzi ukiwa kwenye ndoa. Tofauti na hapo, fanya kwa utashi wako, usitafute mianya kwenye maandiko ya kidini.
Kaz mnayo muwe mnatembea mmetizama chini Ili msitaman mkaznShida ni kumtamani... Tayari unakuwa umezini haijalishi hujaoa mkuu