Kumbe Amber Ruty mwenyewe ndo huyu jomoni!

Mhhhh ila hakuna mtu anatia kichefu chefu kama huyu dada.
 
personal attack?[emoji381] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata hivyo sina uhakika kama mleta mada ni ridhiki,ana dalili zote za kuwa me mwenye hormone za ke...
 
Ebu weka picha zake tuone kama chupi zake ni k/koo
 
Braza Ray upo?
Kumbe mleta uzi ni Me..[emoji15] [emoji15]
Basi wazazi tunapaswa kuwalinda watoto wa kiume kuliko hata wakike, maana Duhhh..... sio kwa muandiko huu
 
eti hao ndio ma models na video Queen bongo.. daah alafu hata hawaoni tabu kuonyesha vitambi vyao kwenye runinga sijui wanazani tunavipenda, wabadilike kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…