bhachu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 8,443
- 9,854
Kama mmeibiana Mabwana mkachambane huko Instagram au Facebook, JF ni jukwaa la great thinkers
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
personal attack?[emoji381] [emoji3]Kweli mjini kuna mastaa malimbukeni namba moja ndo huyu anaona fasheni kuanika hayo makalio yake nje.
Tulichelewa kukujua au ulichelewa kuja na kujua mjini? Chupi zenyewe mtumba unaokotaga Kariakoo, huo mtatoo sasa utadhani ngariba la mwendokasi.
![]()
Cheki sura sasa, halafu mapicha ya uchi siku hizi hapa bongo yashakua zilipendwa na zimexpry. Nashangaa [HASHTAG]#Basata[/HASHTAG] mnachekea tu lakini ingekua Ney mngekua mshamblock kuweni makini.
![]()
Haki hiyo sweta sasa nakojoaaaaaaaaaaa
Amber Ruty unajihisi wewe ni star au tukikwambia unahisi tunakuonea wivu jomoni.
Hivi na wewe ni wa kuonewa wivu? Nakushangaa unavyodhalilisha sana na unajidhalilisha wewe na mwili wako ukidhani sifa kumbe huna lolote kuanzia unyayo mpaka vidole vya miguuni jitazame vizuri.
Anatia kinyaa, hana tofauti na wale mbugani meeda, tatizo anapewa platforms tunazoshindwa kuzikwepa..Ni mchafuuuu
Mbovuuu
Havutiii
Mkuu umenichekesha sana.Ila vijana wanaharibu kiswahili sanaMi nikajua huwa wanakosea nimejaribu kutaamka nimekuta nabana pua na kuweka round kubwa mdoni na kuinua miguu kidogo ila hapana bora "jamani"japo nayo kiume haijakaa poa sana labda kutegemea na mazungumzo
Sent using Jamii Forums mobile app
hata hivyo sina uhakika kama mleta mada ni ridhiki,ana dalili zote za kuwa me mwenye hormone za ke...kuna wakati inabidi ukae kimya mkuu, inakera mwanaume anakuandikia xaxa ...now wamekuja na upuuzi wa jomoni kama huyu mtoa post
anahisi ni ujanja kama huyu amba ruty sijui kumbe upuuzi tu. sasa mwanaume unaandikaje jomoni kama si dalili ya kupumuliwa
ilo punga mkuu linajibu kichoko choko tu.hata hivyo sina uhakika kama mleta mada ni ridhiki,ana dalili zote za kuwa me mwenye hormone za ke...
Kwan mtoa mada ni wakiume?Braza Ray upo?
Kumbe mleta uzi ni Me..[emoji15] [emoji15]Braza Ray upo?
Nauchukia balaa.. sasa mwanaume akitamka napata hasira kwelikweli.huu msamiati "Jomoni" nowadays unashika hatamu