Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Nionyeshe ni wapi Mond alitaja jina "Ali Kiba" kwenye yale maneno yake, ili tujue kuwa yale maneno yanahusiana na Identity ya Alikiba.Wewe ndiye mpumbavu sambamba na hao mamaamina wenzako, identity iliyoko hapo ni uhusiano na Ali Kiba ambaye ndiye mlengwa kwenye mzozo.... sasa hao Amina zako na wewe mmeliwa na Ali?
Wewe shabiki ndio unahisi kuwa yale maneno yalikuwa ni ya Alikiba, hata kama ni kweli bado Sheria inakutaka uthibitishe kuwa mlengwa ni Alikiba, kitu ambacho hauwezi badala yake utatumia kuhisi tu.
Sheria haiendeshwi kwa kuhisi bali KUTHIBITISHA.
Sent using Jamii Forums mobile app