Nionyeshe ni wapi Mond alitaja jina "Ali Kiba" kwenye yale maneno yake, ili tujue kuwa yale maneno yanahusiana na Identity ya Alikiba.Wewe ndiye mpumbavu sambamba na hao mamaamina wenzako, identity iliyoko hapo ni uhusiano na Ali Kiba ambaye ndiye mlengwa kwenye mzozo.... sasa hao Amina zako na wewe mmeliwa na Ali?
Amna kesi hapo mkuu inshort amna mwanasheria anae jielewa akachukua hiyo kesiJina lake ni Amina na alikuwa mke wa Ali kiba.
Akiwa na mwanasheria mzuri jamaa itabidi amlipe.
Preponderance of probabilities, siyo lazima utaje jina kamili, just by implication Amina mke wa Ali kiba hawezi kuondolewa, kufanya hivyo kutakuwa against any logic.
Nitaishangaa sana hiyo mahakama!Uyo amina akikomaa na iyo kesi anamchomoa mond mpunga mrefu, labda kama nia yake ilikua kusafisha jina lake tu
Ali Kiba mwenyewe hajatajwa hapo. Ni mwanasheria kilaza tu ndo atakubali kujichafulia CV yake kwa kukomaa na kesi ambayo itapigwa chini kabla hata jogoo hajawika.Jina lake ni Amina na alikuwa mke wa Ali kiba.
Akiwa na mwanasheria mzuri jamaa itabidi amlipe.
Preponderance of probabilities, siyo lazima utaje jina kamili, just by implication Amina mke wa Ali kiba hawezi kuondolewa, kufanya hivyo kutakuwa against any logic.
Tunakulaga legal fees ya kumsikiliza mteja 🤣🤣🤣Amna kesi hapo mkuu inshort amna mwanasheria anae jielewa akachukua hiyo kesi