imebainika ya kuwa mwanadada mlimbwende wema sepenga baada ya kutiwa ndani na umaarufu wake kupungua kwa kutajwa kuwa anatumia unga ikabifi atumie akili ya ziada kuokoa App yake isije ikadoda na kuanzisha yote haya tunayoyaona leo pamoja na kuhama chama ili App yake ipate habari, My take CHAKUDEMA Wasimtreat kama queen wamchukulie mwanachama wa kawaida kama mimi uone kama hajahama..yule si anapenda kiki...shuwaini
Wewe ni mke wa nani?? Au unataka kuona huyo mdada anaharibikiwa?? Watanzania tupendane haijalishi uko CCM Au CHADEMA au huna chamaimebainika ya kuwa mwanadada mlimbwende wema sepenga baada ya kutiwa ndani na umaarufu wake kupungua kwa kutajwa kuwa anatumia unga ikabifi atumie akili ya ziada kuokoa App yake isije ikadoda na kuanzisha yote haya tunayoyaona leo pamoja na kuhama chama ili App yake ipate habari, My take CHAKUDEMA Wasimtreat kama queen wamchukulie mwanachama wa kawaida kama mimi uone kama hajahama..yule si anapenda kiki...shuwaini
Ww hyo app ya Wema usha i download au unaongea ongea tu?Kwa taarifa yako hajaweka habari ya kuhusiana na kuhama kwake chama.imebainika ya kuwa mwanadada mlimbwende wema sepenga baada ya kutiwa ndani na umaarufu wake kupungua kwa kutajwa kuwa anatumia unga ikabifi atumie akili ya ziada kuokoa App yake isije ikadoda na kuanzisha yote haya tunayoyaona leo pamoja na kuhama chama ili App yake ipate habari, My take CHAKUDEMA Wasimtreat kama queen wamchukulie mwanachama wa kawaida kama mimi uone kama hajahama..yule si anapenda kiki...shuwaini