Kumbe anatafuta habari za kujaza kwenye App. yake

endrizzy

Senior Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
186
Reaction score
137
Imebainika ya kuwa mwanadada mlimbwende wema sepenga baada ya kutiwa ndani na umaarufu wake kupungua kwa kutajwa kuwa anatumia unga ikabidi atumie akili ya ziada kuokoa App yake

Hii ni kwa sababu app isije ikadoda na kuanzisha yote haya tunayoyaona leo pamoja na kuhama chama ili App yake ipate habari,

My take; CHADEMA wasimtreat kama queen wamchukulie mwanachama wa kawaida kama mimi uone kama hajahama..yule si anapenda kiki..
 
imebainika ya kuwa mwanadada mlimbwende wema sepenga baada ya kutiwa ndani na umaarufu wake kupungua kwa kutajwa kuwa anatumia unga ikabifi atumie akili ya ziada kuokoa App yake isije ikadoda na kuanzisha yote haya tunayoyaona leo pamoja na kuhama chama ili App yake ipate habari, My take CHAKUDEMA Wasimtreat kama queen wamchukulie mwanachama wa kawaida kama mimi uone kama hajahama..yule si anapenda kiki...shuwaini

peleka jukwaa la SHILAWADU huko! huku mnajaza nafasi! na kutuumiza macho kusoma udaku
 
imebainika ya kuwa mwanadada mlimbwende wema sepenga baada ya kutiwa ndani na umaarufu wake kupungua kwa kutajwa kuwa anatumia unga ikabifi atumie akili ya ziada kuokoa App yake isije ikadoda na kuanzisha yote haya tunayoyaona leo pamoja na kuhama chama ili App yake ipate habari, My take CHAKUDEMA Wasimtreat kama queen wamchukulie mwanachama wa kawaida kama mimi uone kama hajahama..yule si anapenda kiki...shuwaini
Wewe ni mke wa nani?? Au unataka kuona huyo mdada anaharibikiwa?? Watanzania tupendane haijalishi uko CCM Au CHADEMA au huna chama
 
OK. Sepetu, chadema na wewe mna matatizo fulani.. Team magufuli Daima 2020
 
imebainika ya kuwa mwanadada mlimbwende wema sepenga baada ya kutiwa ndani na umaarufu wake kupungua kwa kutajwa kuwa anatumia unga ikabifi atumie akili ya ziada kuokoa App yake isije ikadoda na kuanzisha yote haya tunayoyaona leo pamoja na kuhama chama ili App yake ipate habari, My take CHAKUDEMA Wasimtreat kama queen wamchukulie mwanachama wa kawaida kama mimi uone kama hajahama..yule si anapenda kiki...shuwaini
Ww hyo app ya Wema usha i download au unaongea ongea tu?Kwa taarifa yako hajaweka habari ya kuhusiana na kuhama kwake chama.
 
Na wewe hii thread ni harakati za kutaka comments na likes toka kwetu umefanikiwa mkuu maana nimekupa like na hii comment yangu,uyu mwanamke nadhani App yake ilikua tayari hata kabla ishu ya poda haijaamka.
 
Hahahah, eti umaarufu wa Wema ulishuka baada ya kutajwa......Ungeshuka kipindi kile kafuta kila kitu insta na kukaa muda bila kupost.....Wema, Ali Kiba na Diamond ni ngumu sana kushuka umaarufu maana wala wale jamaa wanaitwa Die Hard Fans.....Hawa hata hizo mtu zile mavi watasifia tu "oooh wat a delicious food"
 
Back
Top Bottom