Kwa nini uhangaike kutengeneza chanjo kwa ugonjwa ambao mwili unaweza kujitengenezea kinga?Nimekuomba tu jambo dogo, Chanjo yako uliyobuni na ambayo imeidhinishwa na serikali ikwapi? Otherwise utakuwa unaleta porojo tu za fala gwajima
Gwajima anatoka wapi hapa?Soma tena uelewe ni myths and misinformation kama anazotoa Gwajima kwa misukule
View attachment 1916213
Anaesambaza misinformation za vaccine ni nani boss?Kwa nini uhangaike kutengeneza chanjo kwa ugonjwa ambao mwili unaweza kujitengenezea kinga?
Gwajima anatoka wapi hapa?
Nimeuliza habari za mbwa Mimi?Nimechanja Mbwa wangu mara nyingi na nilikuwa napewa form kujaza na cheti.
Hao wanaokufa na CORONA walishajitengenezea kinga siyo ndo maana wapo kaburini?Kwa nini uhangaike kutengeneza chanjo kwa ugonjwa ambao mwili unaweza kujitengenezea kinga?
Gwajima anatoka wapi hapa?
Acha woga kifo hakikwepeki.Mbona unaeleza vitu ambavyo sijauliza? Nijibu Hilo la consent form tu ili tuendelea.
Yaani unaulizwa utaenda lini Kigoma?
Jibu; Nikifika nitaenda kumuona mama mdogo.
kufa kupo tu, hata chanjo haikukingi na kifoHao wanaokufa na CORONA walishajitengenezea kinga siyo ndo maana wapo kaburini?
Ni bora kipi kubisha kila kitu na kukubali kila kitu?Chanjo sio tiba kwanza, mlisema mananasi + limao zilizo oza ndo dawa ya uviko 19, lakini ndo wale wale walifata dawa Madagascar's na mwishowe ikamfyeka pia.
Tz hamna MD, wala CHEMIST wa kutengeneza chanjo au dawa ambayo itathibitishwa na WHO
SISI ACHA TUBISHE TU KWA KILA KITU NDO TUNAWEZA
Wewe unadhani consent form zipo confirned tu kwenye operation ? 🤣 🤣 ,kwa hiyo wagonjwa wanaofanyaga MRI or city scan and etc. huwa wanajaza card za harusi?Nimeliza habari za mbwa Mimi?
Mimi nimechanja chanjo ya Typhoid, Yellow fever, tetanus nk.
Sijawahi on a consent form.
Na una chanjo karibia 10 mwilini 😀 😀 😀 😀 😀 Ungesema hujachanja hata moja, Kama kufa kupo tukufa kupo tu, hata chanjo haikukingi na kifo
Wewe wa Ajabu kweli, mtoto hujaziwa consent form na wazazi.Wewe polio ulichanja ukiwa na akili timamu au unauliza tu maswali yasiyokuwa na msingi?
hakuna anayekataa chanjo; tunakataa kisicho chanjoNa una chanjo karibia 10 mwilini 😀 😀 😀 😀 😀 Ungesema hujachanja hata moja, Kama kufa kupo tu
Pole sana,ogopa sana kubishana na mtu aliyeishiwa maarifaAcha woga kifo hakikwepeki.
Hakuna jf kaburini we jidai huelewi nini kimeandikwa hapo
Thibitisha sio chanjo, na leta chanjo yakohakuna anayekataa chanjo; tunakataa kisicho chanjo
Nilikujibu kwa sababu ulisema kuhusu upasuaji.Wewe unadhani consent form zipo confirned tu kwenye operation ? 🤣 🤣 ,kwa hiyo wagonjwa wanaofanyaga MRI or city scan and etc. huwa wanajaza card za harusi?
Unazungumzia dawa au chanjo?Hao wapinga chanjo au wanaokataa au wanaogopa n.k
Wangenijibu swali hili wangenisaidia.
Baada ya mabeberu ( tunavyowaita maana sisi ni mabingwa wa matusi reja reja kwa wazungu)
Kugundua dawa kuna nchi kadhaa kama iran wakawa na mashaka na dawa za USA kwamba zitawaua mdogo mdogo n.k wakaamya kugundua ya kwao na kuwachanja raia wao, vile vile cuba,na Taiwan na Urrusi na India,
Je hizi nchi zote nao kwa chanjo waliogundua wao wenyewe wanataka kuua rais wao au hawajui wafanyalo tuanzie hapo.
🤣 🤣 🤣Nazungukazunguka kujibu maswali ya ujinga?Nilikujibu kwa sababu ulisema kuhusu upasuaji.
Hospital zipo procedure nyingi tu zinazohitaji consent form na kamwe si chanjo.
Hujajibu bado unazungukazunguka tu.
Kwa hiyo unacholalamikia ni nini? Umeshaambiwa chanjo ni hiari kama hutaki pita hivi......Nini kinawawashawasha kufungua threads kuhusu chanjo?Unafikiri WHO ni malaika?,fahamu hao ni binadamu wana mapungufu pia,wana interest zao,wananunulika ,wanaweza kiuka viapo vyao.
Remember hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Thibitisha sio chanjo, na leta chanjo yako
Bora ni kubisha tuuu ili tupate kilicho bora, ata wakisema wanafanya utafiti tz vifaa vyote vinatoka huko huko mbele na wao ndo wamevinisha kufanya hicho tunacho taka.Ni bora kipi kubisha kila kitu na kukubali kila kitu?