Teleskopu
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 702
- 767
video haijatoka kwa wamiliki wa bitchute. Imetoka kwa daktari.Muwe mnasoma na kuvifahamu vyanzo vyenu vya taarifa kabla ya kuleta huku.
Kasome hao wamiliki wa hiyo site ni nani?
Mipango yao ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
video haijatoka kwa wamiliki wa bitchute. Imetoka kwa daktari.Muwe mnasoma na kuvifahamu vyanzo vyenu vya taarifa kabla ya kuleta huku.
Kasome hao wamiliki wa hiyo site ni nani?
Mipango yao ni nini?
Sisi watanzania ni wapumbavu sana,yani watu wanapinga pinga tu ujinga,hawa wanaopinga chanjo watuletee chanjo mbadala na siyo kuaminisha wengine ujinga usiyo na maana.In short,Gwajima ni mshamba wa kale sana.Walinunulika kwenye jambo gani hapo nyuma,au hisia zako tu?
Tuletee basi uliyogundua wewe
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Hawa wanafikiri kila mtu ana akili za kigwajimagwajima,hawa ni wafuasi wa kibwetere kujazana upumbavuTukusaidie nini sasa. Kama umeamua kutochanjwa si basi?
Wewe uliyesoma umegundua nn?Yaani kujua long term side effects za chanjo unahitaji kuwa na PhD ya udaktari?
Lo Watanzania kwa uvivu wa kusoma hawajambo.
Ukichanjwa huwezi kuugua corona?..hutavaa barakoa? Mjibu Gwajima sasa mtaalam, muelimisheSisi watanzania ni wapumbavu sana,yani watu wanapinga pinga tu ujinga,hawa wanaopinga chanjo watuletee chanjo mbadala na siyo kuaminisha wengine ujinga usiyo na maana.In short,Gwajima ni mshamba wa kale sana.
watu wenye fikra za kirushwarushwa mna matatizo sana....yaani WHO wameapprove chanjo feki na wameanza kuchanja watu wao wenyewe zaidi ya 200mil western europe? hata viwanja vya michezo wamefungulia vinajaa mashabiki!!!Unafikiri WHO ni malaika?,fahamu hao ni binadamu wana mapungufu pia,wana interest zao,wananunulika ,wanaweza kiuka viapo vyao.
Remember hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Ukichanjwa huwezi kuugua COVID ndio. Hata kama ukioata maambukizi tayari mwili unakuwa na uwezo wa kuhimili kupambana na Coronavirus.Ukichanjwa huwezi kuugua corona?..hutavaa barakoa? Mjibu Gwajima sasa mtaalam, muelimishe
Tena unakuta pumbu kama hawa ndio wavutaji wakubwa wa SIGARA ambazo zimeandikwa LIVE.watu wenye fikra za kirushwarushwa mna matatizo sana....yaani WHO wameapprove chanjo feki na wameanza kuchanja watu wao wenye zaidi ya 200mil western europe? hata viwanja vya michezo wamefungulia vinajaa mashabiki? marekani imeshachanja zaidi ya watu 170mil....kisha wewe mnywa viroba unakuja na hoja ya kijinga kama hii.
shughulisha ubongo wako
Sawa kabisa.Je TFDA yetu au TMDA yetu ilijiridhisha juu ya ubora wa chanjo hii ikiwa FDA wao walitoa partial approval? Na nafikiri FDA ina uzoefu mkubwa kuliko sisi.anywhere tuende tukachanje maana Africa hatuna ujanja wowote isipokuwa kukandamizna na kusingiziana.Bara zima hatuwezi kutengeneza chanjo na huku tunajidai tuna wasomi? Aibu kubwa
Mbona hamjitokezi kuchanja sasa?. Toka zifike Tz ni watu laki 3 tu wamechanjwa. Halafu ajabu vifo vitokavyo na chanjo haviwekwi waziChanjo zote za COVID zimeidhinishwa na WHO kwaajili ya matumizi ya dharula kwasababu maisha ya watu yanapotea na shughuli ,a kiuchumi nyingi zilisimama.
Na bahati nzuri zimepunguza vifo kwa kiasi kikubwa sana.
Ila mnamtegema Gwajima ambae hana hata maabara ya utafiti???? 😀 😀 😀 😀 Gwajima na Manara wote ni binadamu pia, kuna siku Gwajima ataongoza zoezi la chanjo kanisani kwake, Trust me 😀 😀 😀Unafikiri WHO ni malaika?,fahamu hao ni binadamu wana mapungufu pia,wana interest zao,wananunulika ,wanaweza kiuka viapo vyao.
Remember hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Kitaalamu ipo hv-Ukichanjwa huwezi kuugua corona?..hutavaa barakoa? Mjibu Gwajima sasa mtaalam, muelimishe
Ndo maana nasemaga wafuasi wa Gwajima ni kibwetere warriorsIla mnamtegema Gwajima ambae hana hata maabara ya utafiti???? 😀 😀 😀 😀 Gwajima na Manara wotw ni binadamu pia, kuna siku Gwajima ataongoza zoezi la chanjo kanisani kwake, Trust me 😀 😀 😀
kabisaIla mnamtegema Gwajima ambae hana hata maabara ya utafiti???? 😀 😀 😀 😀 Gwajima na Manara wote ni binadamu pia, kuna siku Gwajima ataongoza zoezi la chanjo kanisani kwake, Trust me 😀 😀 😀
kwa hiyo unataka report ya waliokufa kutokana na chanjo tz itoke wapi ikiwa hakuna aliyekufa? waliochanjwa wote wameambia ukiona hali isiyo tofauti toa report. Ikiwa hakuna aliyetoa report maana yake hakuna shida.Mbona hamjitokezi kuchanja sasa?. Toka zifike Tz ni watu laki 3 tu wamechanjwa. Halafu ajabu vifo vitokavyo na chanjo haviwekwi wazi
Tunaweza kweli kuwaamini TMDA kwa mambo serious wakati wanaotoa ushahidi kwa kuangalia vitu kwa macho? Hiki ndicho wanachosema.Sawa kabisa.Je TFDA yetu au TMDA yetu ilijiridhisha juu ya ubora wa chanjo hii ikiwa FDA wao walitoa partial approval? Na nafikiri FDA ina uzoefu mkubwa kuliko sisi.anywhere tuende tukachanje maana Africa hatuna ujanja wowote isipokuwa kukandamizna na kusingiziana.Bara zima hatuwezi kutengeneza chanjo na huku tunajidai tuna wasomi? Aibu kubwa
Kwa hiyo wewe ulitegemea chip iangaliwe kwenye microscope ndo iweze kuonekana? Ulihitaji kujua myth ya kwamba shilingi inanata baada ya kuchanja ni mpaka uende TMDA?Usomi wa Tanzania una matatizo makubwa sehemuTunaweza kweli kuwaamini TMDA kwa mambo serious wakati wanaotoa ushahidi kwa kuangalia vitu kwa macho? Hiki ndicho wanachosema.View attachment 1916131
Dunia iko kwenye nano technology na biosensors. Nyie mmekalia kuangalia kwa macho halafu unatuambia umethibitisha!!! Ni kweli usemacho, elimu yetu ina matatizo.Kwa hiyo wewe ulitegemea chip iangaliwe kwenye microscope ndo iweze kuonekana? Usomi wa Tanzania una matatizo makubwa sehemu