Yaani kujua long term side effects za chanjo unahitaji kuwa na PhD ya udaktari?Gwajima anajua chochote kuhusu masuala ya Afya, Tiba au Chanjo ?
Kubishana na Gwajima ni utaahira wa hali ya juu.
Ni sawa na kumchukua Haji Manara akabishane na Elon Musk kuhusu masuala ya Space Exploration. Ni upumbavu tu na kupotezeana muda.
Lo Watanzania kwa uvivu wa kusoma hawajambo.