Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Hapa siyo msikitini Sheikh...... Na kama Allah amepanga nafsi ya mtu iondoke kwa sababu yoyote ile basi hakuna cha WHO wala nani zaidi ni kuangalia namna ya kumrejea Allah pekee..
Ningekuwa na uwezo ningeamrisha watu wote wavae fully stara fully hijab fully niqqab. Ili ghadhabu za Allah zipungue zidi yetu.
Allah hakukuumba uwe TOY, kwamba kila tatizo linalokukuta wewe hujishughulishi, unamwachia tu.