#COVID19 Kumbe askofu Gwajima aweza kuwa sahihi: Tangia chanjo ya COVID-19 inatolewa mpaka tarehe 23 Agosti ilikuwa partially approved kutolewa kwa binadamu

Kwa bahati mbaya vifo vya watoto ni vingi pale ambako wote wanavaa fully hijab, niqab, burka. Mfano Afghanistan, Pakistan ya magharini-kaskazini.
BTW: unamaanisha kweli "watu wote wavae fully niqqab"? Je wanaume si watu? Kweli???
 
Mimi nimechanja, wala sijaona sababu za kufuata wapumbavu wachache.

Ni at least vijana kinga zao bado zinahimili, wazee kubisha kuchanja ni ujuha tu.
Sasa nani ni mpumbavu kati ya waliochanja na wasio chanja. Tayari wewe umejiona mwerevu kwa kuchanja. Kitambo kidogo unaweza kujiona wewe ndio mpumbavu kwa kuchanja,baada ya matokeo ya hiyo chanjo
 
Wewe umeona Tanzania tu? Duniani kote watu wanaendelea kugomea chanjo
 
Tatizo mkuu, ni watu wachache wata - take trouble ya kukuelewa - mwisho wa siku hii kitu kisipo kuwa nipped in the bud the soonest it gonna cost humanity an arm and leg kutokana na kupuuzia dalili zinazo jitokeza hapa na pale Dunia nzima hisipokuwa Uchina na Urusi ambako chanjo hizi za magharibi hazitumiki. Hakuna anaye pinga watu kuchanjwa au ambaye hajui umuhimu wa chanjo - lakini sio vizuri kuwadungu binadamu Experimental Biological Agents - ambazo wame cut corners kuziingiza sokoni - kisa? Eti sababu ya dhalula (Emergency). Swali hapa ni: Kwa nini nchi za magharibi hawataki kuzalisha chanjo kwa kutumia mbinu za asili zinazotumika Duniani kwa zaidi ya miaka mia kuzalisha chanjo - narudia kukumbusha kwamba mbinu za asili ndio zinatumiwa na Wachina kuzalisha chao zao, na hatujawahi kusikia visa vya ajabu kutoka kwa wstumiaji wa chanjo za Kichina kwenye mataifa yaliyo kubali kutumia chanjo za Kichina, si hilo bali China vile vile ndilo Taifa pekee Duniani lililo fanikiwa kwa kiwango kikubwa kukabiriana na kudhibiti maambukizi ya covid variant zote zilizo wahi kujitokeza - kwa nini sisi na Dunia nzima hatutaki kujifunza kutoka kwenye success story ya Taifa la China?
 
Kama corona tz ingekuwepo ule mkusanyiko wa yanga jana bila watu kuvaa barakoa basi tunategemea wagonjwa elfu 30
Jifunze kutoka Japan na Olympic ya majuzi,cases zilikuwa chini ya 1000 kwa siku,baada ya Olympic Covid cases zimepannda hadi 6000 kwa siku.
 
😀 😀 😀 😀 Tunasubiria kwa hamu kugeuka maroboti sieeeeeee
 
Unafikiri WHO ni malaika?,fahamu hao ni binadamu wana mapungufu pia,wana interest zao,wananunulika ,wanaweza kiuka viapo vyao.
Remember hakuna mkate mgumu mbele ya chai
You nailed it !!!
 


Watu wengine mko slow sana vitu ambayo watu wanajua miaka 2 iliyopita kabla ya chanjo inakuchukua miaka miwili kujua. Hii ndiyo sababu wengine mnakuwa wajinga kwenda kumpa Gwajima pesa za mafuta ya helikopta yake kwa kuwakalisha kwenye viti vya plastiki na kuwajaza uongo wa kufufua watu. Kwani haja fufua hawa wagojwa wa Corona
 
Wasichanje tu, kuchanja ni hiari. Simpleeeee
 
Marekani ambako tayari imeshakuwa full approved bado ni hiari kwa sehemu kubwa ukiondoa waajiri ambao wameamua iwe ni mandatory au ajira inaota manyasi. Na wengi ikiwemo madaktari na manesi ajira zao zimeota manyasi.
Ikishakuwa imetolewa kwa hati ya dharula hakuna kulazimishana .ni full hiari kwa sababu madhara ni juu yako.
 
Ngojera za Gwajima zimefika mwisho ,tunataka Sasa atuletee ambao wamechanjwa , NIKIWEMO MIE , kwamba wamepata madhara, Gwajima anatumia vibaya , Uaskofu wake,

Niwatake serikali kusitisha kanisa lake KWa mda au ajikite toa neno la MUNGU , sio potosha watu


Kama anajiona kifo kwake hakimzuhii fanya lolote why , anakimbia viti?

Kama kweli haogopi corona , why Kipindi Cha mwendazake , alikua anaomba vifaa akawaombeee wagonjwa,? Si angeenda alivyo


GWAJIMA nakuahamuru Kama MUNGU AISHIVYO , ACHA MARA MOJA POTEZA WATU WAMUNGU
 
Unafikiri WHO ni malaika?,fahamu hao ni binadamu wana mapungufu pia,wana interest zao,wananunulika ,wanaweza kiuka viapo vyao.
Remember hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Kupinga kitu ambacho huna utaalam nacho hata kidogo ni ujinga mkubwa. Ligi kuu wa Uingereza imeanza, washabiki wanajazana mpirani kama kawaida vifo vimepungua kabisa. Isingekuwa hizi chanjo haya yasingewezekana bila watu wengi kufa. Halafu ndondocha za Gwajima hazijui kwamba chanjo ziko nyingi, tena kutoka nchi mbali mbali na nyingine bado ziko kwenye majaribio. Ndondocha wamekazana na chanjo za mmarekani tu.
 
🤣 🤣 🤣 🤣Hivi kuna anayelazimisha ni lazima uchanje za kimarekani? Huyo Gwajima si anasema huu ni mpango wa kuwafanya watu wawe ma-zombie? Na hizo za mchina zimetumia muda gani kutengenezwa kama siyo muda mfupi kuliko hata za mmarekani? Kwa kifupi hamna hoja yoyote ya maana nyie na huyo porn-star wenu.
 
Kwani mavazi ndo yamemgadhabisha allah?
 
Unafikiri WHO ni malaika?,fahamu hao ni binadamu wana mapungufu pia,wana interest zao,wananunulika ,wanaweza kiuka viapo vyao.
Remember hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Usubiri za malaika na hao wasionunuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…