#COVID19 Kumbe askofu Gwajima aweza kuwa sahihi: Tangia chanjo ya COVID-19 inatolewa mpaka tarehe 23 Agosti ilikuwa partially approved kutolewa kwa binadamu

..... Na kama Allah amepanga nafsi ya mtu iondoke kwa sababu yoyote ile basi hakuna cha WHO wala nani zaidi ni kuangalia namna ya kumrejea Allah pekee..

Ningekuwa na uwezo ningeamrisha watu wote wavae fully stara fully hijab fully niqqab. Ili ghadhabu za Allah zipungue zidi yetu.
Kwa bahati mbaya vifo vya watoto ni vingi pale ambako wote wanavaa fully hijab, niqab, burka. Mfano Afghanistan, Pakistan ya magharini-kaskazini.
BTW: unamaanisha kweli "watu wote wavae fully niqqab"? Je wanaume si watu? Kweli???
 
Mimi nimechanja, wala sijaona sababu za kufuata wapumbavu wachache.

Ni at least vijana kinga zao bado zinahimili, wazee kubisha kuchanja ni ujuha tu.
Sasa nani ni mpumbavu kati ya waliochanja na wasio chanja. Tayari wewe umejiona mwerevu kwa kuchanja. Kitambo kidogo unaweza kujiona wewe ndio mpumbavu kwa kuchanja,baada ya matokeo ya hiyo chanjo
 
kwa hiyo unataka report ya waliokufa kutokana na chanjo tz itoke wapi ikiwa hakuna aliyekufa? waliochanjwa wote wameambia ukiona hali isiyo tofauti toa report. Ikiwa hakuna aliyetoa report maana yake hakuna shida.

Mimi nimechanjwa sijaona shida yo yote. I can bet you nilipochanjwa chanjo ya yellow fever nilijisikia dizziness kwa siku mbili tatu hivi. Lakini ya corona sijasikia shida yo yote.

Tatizo la watanzania, mkishamuona mtu ni vocal na jasiri wa kuzungumza hata jambo asilolijua huwa mnaweka elimu zenu chini ya makalio yake mnaanza kumsikiliza. Huyo gwajima ana maabara ya kuprove ufeki wa chanjo? Gwajima ana elimu gani zaidi ya form four failure maana hata Phd yake ni feki aliinunua kwa rand 5000 south africa kwa tapeli mmoja anajiita Omega global university-chuo ambacho hakipo mahali popote ulimwenguni.

Anadai eti amejulishwa n amkurugenzi wa kampuni ya kutengeneza chanjo kuwa chanjo si salama, mkurugenzi gani wa kampuni anaweza akatoa siri za product yake?...watanzania pekee
Wewe umeona Tanzania tu? Duniani kote watu wanaendelea kugomea chanjo
 
Malipo ni hapahapa Duniani Vaccine sceptic rapper dies in hospital after catching Covid

1630333136738.png

Wacha tuendelee kuwa washamba kwa kuchanja Musician who refused vaccine dies from Covid, after final plea for jab sceptics to change their minds
1630333421159.png
 
Hii sio chanjo. Kila anayedhani hii ni chanjo amedanganyika na mwisho wake ni kuangamia. Natural immunity is sufficiently able to fight against covid 19. PCR test iliyotumika kubaini wenye vovid kilikuwa ni kipimo cha uongo ndio maana NI KWELI hata mapapai na dizeli vilikuwa positive; na ndio maana CDC ya marekani imetangaza kukiondoa kipimo hicho. Kwa nini kilitumika? Ili kwa makusudi ku-generate hofu wapate kutenda wanachokitenda sasa - yaani kudunga watu kile ambacho kwa uongo kinaitwa chanjo. Pole kwa uliyeamini uongo huu. --- IN THE AGE OF FREE KNOWLEDGE, IGNORANCE IS A CHOICE - AND IT CAN COST YOUR LIFE.View attachment 1916081
Tatizo mkuu, ni watu wachache wata - take trouble ya kukuelewa - mwisho wa siku hii kitu kisipo kuwa nipped in the bud the soonest it gonna cost humanity an arm and leg kutokana na kupuuzia dalili zinazo jitokeza hapa na pale Dunia nzima hisipokuwa Uchina na Urusi ambako chanjo hizi za magharibi hazitumiki. Hakuna anaye pinga watu kuchanjwa au ambaye hajui umuhimu wa chanjo - lakini sio vizuri kuwadungu binadamu Experimental Biological Agents - ambazo wame cut corners kuziingiza sokoni - kisa? Eti sababu ya dhalula (Emergency). Swali hapa ni: Kwa nini nchi za magharibi hawataki kuzalisha chanjo kwa kutumia mbinu za asili zinazotumika Duniani kwa zaidi ya miaka mia kuzalisha chanjo - narudia kukumbusha kwamba mbinu za asili ndio zinatumiwa na Wachina kuzalisha chao zao, na hatujawahi kusikia visa vya ajabu kutoka kwa wstumiaji wa chanjo za Kichina kwenye mataifa yaliyo kubali kutumia chanjo za Kichina, si hilo bali China vile vile ndilo Taifa pekee Duniani lililo fanikiwa kwa kiwango kikubwa kukabiriana na kudhibiti maambukizi ya covid variant zote zilizo wahi kujitokeza - kwa nini sisi na Dunia nzima hatutaki kujifunza kutoka kwenye success story ya Taifa la China?
 
Kama corona tz ingekuwepo ule mkusanyiko wa yanga jana bila watu kuvaa barakoa basi tunategemea wagonjwa elfu 30
Jifunze kutoka Japan na Olympic ya majuzi,cases zilikuwa chini ya 1000 kwa siku,baada ya Olympic Covid cases zimepannda hadi 6000 kwa siku.
 
Tatizo mkuu, ni watu wachache wata - take trouble ya kukuelewa - mwisho wa siku hii kitu kisipo kuwa nipped in the bud the soonest it gonna cost humanity an arm and leg kutokana na kupuuzia dalili zinazo jitokeza hapa na pale Dunia nzima hisipokuwa Uchina na Urusi ambako chanjo hizi za magharibi hazitumiki. Hakuna anaye pinga watu kuchanjwa au ambaye hajui umuhimu wa chanjo - lakini sio vizuri kuwadungu binadamu Experimental Biological Agents - ambazo wame cut corners kuziingiza sokoni - kisa? Eti sababu ya dhalula (Emergency). Swali hapa ni: Kwa nini nchi za magharibi hawataki kuzalisha chanjo kwa kutumia mbinu za asili zinazotumika Duniani kwa zaidi ya miaka mia kuzalisha chanjo - narudia kukumbusha kwamba mbinu za asili ndio zinatumiwa na Wachina kuzalisha chao zao, na hatujawahi kusikia visa vya ajabu kutoka kwa wstumiaji wa chanjo za Kichina kwenye mataifa yaliyo kubali kutumia chanjo za Kichina, si hilo bali China vile vile ndilo Taifa pekee Duniani lililo fanikiwa kwa kiwango kikubwa kukabiriana na kudhibiti maambukizi ya covid variant zote zilizo wahi kujitokeza - kwa nini sisi na Dunia nzima hatutaki kujifunza kutoka kwenye successful story ya Taifa la China?
😀 😀 😀 😀 Tunasubiria kwa hamu kugeuka maroboti sieeeeeee
 
Unafikiri WHO ni malaika?,fahamu hao ni binadamu wana mapungufu pia,wana interest zao,wananunulika ,wanaweza kiuka viapo vyao.
Remember hakuna mkate mgumu mbele ya chai
You nailed it !!!
 
Swali ni je imekuwa scientifically approved au politically approved?

--
The F.D.A. approved full licensure of the Pfizer vaccine this morning and has also, I’m sure you’re aware, back in August on the 9th, the secretary articulated that it was his intent to mandate Covid-19 vaccines upon F.D.A. licensure or by mid-September to seek a waiver from the president. So now that the Pfizer vaccine has been approved, the department is prepared to issue updated guidance requiring all service members to be vaccinated. A timeline for vaccination completion will be provided in the coming days.

The health of the force is, as always, of our military and our civilian employees, families and communities is a top priority, and so it is important to remind everyone that these efforts ensure the safety of our service members and promote the readiness of our force, not to mention the health and safety of the communities around the country in which we live. We’re preparing now actionable guidance to the force we’re going to move forward making that vaccine mandatory. We’re preparing the guidance to the force right now, and that the actual completion date of it, in other words, how fast we want to see it get done, we’re working through that guidance right now.

Following the Food and Drug Administration’s final approval of the Pfizer-BioNTech coronavirus vaccine, Pentagon officials said they were working on a timeline for requiring vaccinations for all active-duty service members.CreditCredit...Carl Court/Getty Images
Full federal approval for the Pfizer-BioNTech coronavirus vaccine for those 16 and older is opening the way for institutions like the military, corporate employers, hospitals and school districts to announce vaccine mandates for their employees.

Within hours of the announcement, the Pentagon, CVS, the State University of New York system and the New York City school system, among others, announced that they would enforce mandates they had prepared to carry out but had made contingent on the F.D.A.’s action.

One of the first and largest to move ahead was the Pentagon. Defense Secretary Lloyd J. Austin III had already received authorization from President Biden to mandate vaccines for all active-duty troops once the vaccine was fully approved, and he was moving swiftly to put the plans into action, said John F. Kirby, the Pentagon spokesman. The secretary will soon send specific vaccination guidelines to 1.4 million service members.

“These efforts ensure the safety of our service members,” Mr. Kirby said during a news briefing on Monday. He said the deadline date for getting vaccinated was still being determined.

Last month, Mr. Biden ordered that all federal employees and on-site contractors must be vaccinated against the coronavirus, or else submit to regular testing and other measures. The requirement applied to the 766,372 civilians working for the Defense Department, but not active-duty service members.

The Defense Department’s website said that as of Aug. 18, more than one million service members have been vaccinated, along with more than 300,000 civilian employees.

Vaccine mandates for college students were also gathering pace after the F.D.A.’s decision.

The F.D.A.’s approval brought into force a requirement in New York, announced in May, that all in-person students at State University of New York and City University of New York schools be vaccinated. CUNY’s website said that after federal approval students “have 45 days to get fully vaccinated or will be subject to potential academic withdrawal.”

The University of Minnesota system, with five campuses and 60,000 students, said on Monday that the coronavirus vaccine would be added to the university’s list of mandatory immunizations for students. And the president of Louisiana State University told reporters that his school would also require vaccination. Each institution had previously said it would do so once the F.D.A. gave a coronavirus vaccine final approval.

The drugstore chain CVS said on Monday that its pharmacists would have to be fully vaccinated by Nov. 30 and that all corporate employees and other workers who interact with patients had until Oct. 31 to comply. The requirement affects about 100,000 employees, the company said. Workers may request exemptions for medical or religious reasons.

And Disney World said unions representing more than 30,000 employees had agreed to a mandate, citing the F.D.A.’s full approval, that would require workers to be vaccinated by Oct. 22.

New York City announced on Monday that every employee of the city’s Department of Education, from principals to janitors, would have to receive at least one dose of a coronavirus vaccine by Sept. 27.

Hours later, New Jersey’s governor, Philip D. Murphy, said that all state employees and employees of public, private and parochial schools in his state must be fully inoculated by Oct. 18 or be tested once or twice a week for the virus. And Chevron became the first major American oil producer to require its field workers to get vaccinated.

Before the F.D.A.’s announcement, the three coronavirus vaccines available in the United States, made by Pfizer-BioNTech, Moderna and Johnson & Johnson, were all being administered in the United States under an emergency use authorization. (The Pfizer vaccine remains available on that basis for youths 12 to 15 and for extra doses for some immunocompromised people.)

U.S. officials hope that full federal approval will quiet some of the vaccine misinformation online and induce more hesitant people to get vaccinated. A recent poll by the Kaiser Family Foundation found that three out of every 10 unvaccinated people said that they would be more likely to get a shot once it was fully approved.

But whether the announcement will help convince the roughly 85 million unvaccinated Americans to get inoculated without the added pressure of new requirements remains to be seen

Stephanie Saul, Eliza Shapiro, Tracey Tully and Coral Murphy-Marcos contributed reporting.

Source: Covid-19 Updates: F.D.A.’s Vaccine Approval Leads Pentagon and Others to Add Requirements

Watu wengine mko slow sana vitu ambayo watu wanajua miaka 2 iliyopita kabla ya chanjo inakuchukua miaka miwili kujua. Hii ndiyo sababu wengine mnakuwa wajinga kwenda kumpa Gwajima pesa za mafuta ya helikopta yake kwa kuwakalisha kwenye viti vya plastiki na kuwajaza uongo wa kufufua watu. Kwani haja fufua hawa wagojwa wa Corona
 
Wasichanje tu, kuchanja ni hiari. Simpleeeee
 
Marekani ambako tayari imeshakuwa full approved bado ni hiari kwa sehemu kubwa ukiondoa waajiri ambao wameamua iwe ni mandatory au ajira inaota manyasi. Na wengi ikiwemo madaktari na manesi ajira zao zimeota manyasi.
Ikishakuwa imetolewa kwa hati ya dharula hakuna kulazimishana .ni full hiari kwa sababu madhara ni juu yako.
 
Swali ni je imekuwa scientifically approved au politically approved?

--
The F.D.A. approved full licensure of the Pfizer vaccine this morning and has also, I’m sure you’re aware, back in August on the 9th, the secretary articulated that it was his intent to mandate Covid-19 vaccines upon F.D.A. licensure or by mid-September to seek a waiver from the president. So now that the Pfizer vaccine has been approved, the department is prepared to issue updated guidance requiring all service members to be vaccinated. A timeline for vaccination completion will be provided in the coming days.

The health of the force is, as always, of our military and our civilian employees, families and communities is a top priority, and so it is important to remind everyone that these efforts ensure the safety of our service members and promote the readiness of our force, not to mention the health and safety of the communities around the country in which we live. We’re preparing now actionable guidance to the force we’re going to move forward making that vaccine mandatory. We’re preparing the guidance to the force right now, and that the actual completion date of it, in other words, how fast we want to see it get done, we’re working through that guidance right now.

Following the Food and Drug Administration’s final approval of the Pfizer-BioNTech coronavirus vaccine, Pentagon officials said they were working on a timeline for requiring vaccinations for all active-duty service members.CreditCredit...Carl Court/Getty Images
Full federal approval for the Pfizer-BioNTech coronavirus vaccine for those 16 and older is opening the way for institutions like the military, corporate employers, hospitals and school districts to announce vaccine mandates for their employees.

Within hours of the announcement, the Pentagon, CVS, the State University of New York system and the New York City school system, among others, announced that they would enforce mandates they had prepared to carry out but had made contingent on the F.D.A.’s action.

One of the first and largest to move ahead was the Pentagon. Defense Secretary Lloyd J. Austin III had already received authorization from President Biden to mandate vaccines for all active-duty troops once the vaccine was fully approved, and he was moving swiftly to put the plans into action, said John F. Kirby, the Pentagon spokesman. The secretary will soon send specific vaccination guidelines to 1.4 million service members.

“These efforts ensure the safety of our service members,” Mr. Kirby said during a news briefing on Monday. He said the deadline date for getting vaccinated was still being determined.

Last month, Mr. Biden ordered that all federal employees and on-site contractors must be vaccinated against the coronavirus, or else submit to regular testing and other measures. The requirement applied to the 766,372 civilians working for the Defense Department, but not active-duty service members.

The Defense Department’s website said that as of Aug. 18, more than one million service members have been vaccinated, along with more than 300,000 civilian employees.

Vaccine mandates for college students were also gathering pace after the F.D.A.’s decision.

The F.D.A.’s approval brought into force a requirement in New York, announced in May, that all in-person students at State University of New York and City University of New York schools be vaccinated. CUNY’s website said that after federal approval students “have 45 days to get fully vaccinated or will be subject to potential academic withdrawal.”

The University of Minnesota system, with five campuses and 60,000 students, said on Monday that the coronavirus vaccine would be added to the university’s list of mandatory immunizations for students. And the president of Louisiana State University told reporters that his school would also require vaccination. Each institution had previously said it would do so once the F.D.A. gave a coronavirus vaccine final approval.

The drugstore chain CVS said on Monday that its pharmacists would have to be fully vaccinated by Nov. 30 and that all corporate employees and other workers who interact with patients had until Oct. 31 to comply. The requirement affects about 100,000 employees, the company said. Workers may request exemptions for medical or religious reasons.

And Disney World said unions representing more than 30,000 employees had agreed to a mandate, citing the F.D.A.’s full approval, that would require workers to be vaccinated by Oct. 22.

New York City announced on Monday that every employee of the city’s Department of Education, from principals to janitors, would have to receive at least one dose of a coronavirus vaccine by Sept. 27.

Hours later, New Jersey’s governor, Philip D. Murphy, said that all state employees and employees of public, private and parochial schools in his state must be fully inoculated by Oct. 18 or be tested once or twice a week for the virus. And Chevron became the first major American oil producer to require its field workers to get vaccinated.

Before the F.D.A.’s announcement, the three coronavirus vaccines available in the United States, made by Pfizer-BioNTech, Moderna and Johnson & Johnson, were all being administered in the United States under an emergency use authorization. (The Pfizer vaccine remains available on that basis for youths 12 to 15 and for extra doses for some immunocompromised people.)

U.S. officials hope that full federal approval will quiet some of the vaccine misinformation online and induce more hesitant people to get vaccinated. A recent poll by the Kaiser Family Foundation found that three out of every 10 unvaccinated people said that they would be more likely to get a shot once it was fully approved.

But whether the announcement will help convince the roughly 85 million unvaccinated Americans to get inoculated without the added pressure of new requirements remains to be seen

Stephanie Saul, Eliza Shapiro, Tracey Tully and Coral Murphy-Marcos contributed reporting.

Source: Covid-19 Updates: F.D.A.’s Vaccine Approval Leads Pentagon and Others to Add Requirements
Ngojera za Gwajima zimefika mwisho ,tunataka Sasa atuletee ambao wamechanjwa , NIKIWEMO MIE , kwamba wamepata madhara, Gwajima anatumia vibaya , Uaskofu wake,

Niwatake serikali kusitisha kanisa lake KWa mda au ajikite toa neno la MUNGU , sio potosha watu

Kama anajiona kifo kwake hakimzuhii fanya lolote why , anakimbia viti?

Kama kweli haogopi corona , why Kipindi Cha mwendazake , alikua anaomba vifaa akawaombeee wagonjwa,? Si angeenda alivyo

GWAJIMA nakuahamuru Kama MUNGU AISHIVYO , ACHA MARA MOJA POTEZA WATU WAMUNGU
 
Unafikiri WHO ni malaika?,fahamu hao ni binadamu wana mapungufu pia,wana interest zao,wananunulika ,wanaweza kiuka viapo vyao.
Remember hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Kupinga kitu ambacho huna utaalam nacho hata kidogo ni ujinga mkubwa. Ligi kuu wa Uingereza imeanza, washabiki wanajazana mpirani kama kawaida vifo vimepungua kabisa. Isingekuwa hizi chanjo haya yasingewezekana bila watu wengi kufa. Halafu ndondocha za Gwajima hazijui kwamba chanjo ziko nyingi, tena kutoka nchi mbali mbali na nyingine bado ziko kwenye majaribio. Ndondocha wamekazana na chanjo za mmarekani tu.
 
Tatizo mkuu, ni watu wachache wata - take trouble ya kukuelewa - mwisho wa siku hii kitu kisipo kuwa nipped in the bud the soonest it gonna cost humanity an arm and leg kutokana na kupuuzia dalili zinazo jitokeza hapa na pale Dunia nzima hisipokuwa Uchina na Urusi ambako chanjo hizi za magharibi hazitumiki. Hakuna anaye pinga watu kuchanjwa au ambaye hajui umuhimu wa chanjo - lakini sio vizuri kuwadungu binadamu Experimental Biological Agents - ambazo wame cut corners kuziingiza sokoni - kisa? Eti sababu ya dhalula (Emergency). Swali hapa ni: Kwa nini nchi za magharibi hawataki kuzalisha chanjo kwa kutumia mbinu za asili zinazotumika Duniani kwa zaidi ya miaka mia kuzalisha chanjo - narudia kukumbusha kwamba mbinu za asili ndio zinatumiwa na Wachina kuzalisha chao zao, na hatujawahi kusikia visa vya ajabu kutoka kwa wstumiaji wa chanjo za Kichina kwenye mataifa yaliyo kubali kutumia chanjo za Kichina, si hilo bali China vile vile ndilo Taifa pekee Duniani lililo fanikiwa kwa kiwango kikubwa kukabiriana na kudhibiti maambukizi ya covid variant zote zilizo wahi kujitokeza - kwa nini sisi na Dunia nzima hatutaki kujifunza kutoka kwenye successful story ya Taifa la China?
🤣 🤣 🤣 🤣Hivi kuna anayelazimisha ni lazima uchanje za kimarekani? Huyo Gwajima si anasema huu ni mpango wa kuwafanya watu wawe ma-zombie? Na hizo za mchina zimetumia muda gani kutengenezwa kama siyo muda mfupi kuliko hata za mmarekani? Kwa kifupi hamna hoja yoyote ya maana nyie na huyo porn-star wenu.
 
..... Na kama Allah amepanga nafsi ya mtu iondoke kwa sababu yoyote ile basi hakuna cha WHO wala nani zaidi ni kuangalia namna ya kumrejea Allah pekee..

Ningekuwa na uwezo ningeamrisha watu wote wavae fully stara fully hijab fully niqqab. Ili ghadhabu za Allah zipungue zidi yetu.
Kwani mavazi ndo yamemgadhabisha allah?
 
Unafikiri WHO ni malaika?,fahamu hao ni binadamu wana mapungufu pia,wana interest zao,wananunulika ,wanaweza kiuka viapo vyao.
Remember hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Usubiri za malaika na hao wasionunuliwa.
 
Back
Top Bottom