X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
mkuu hii habari umehadithiwa ama imekutokea kweli? maana nijuavyo mimi huwezi kutoa zaidi ya 4k....hivyo ukitaka utoe milioni ni lazima utoe zaidi ya mara moja...au huduma ya kutoa milioni na kuendelea umeanza nayo wewe...mkuuNashukuru kwa siku ya Leo walau ilikua njema.
Nimeenda ATM moja hapa Arusha, nilikua nataka kuwithdraw kama 110,000TSh cha ajabu ilitoka 1100,000tsh. Nimevunja mpaka kadi sitaki kuendelea na ile bank tena.
Furaha iliyoje kwenye awamu kama hii ya baba JESCA? Naomba malaika aliyeniamsha Leo aje tena keshokutwa.
OK mkuuNo, sio kweli
Wewe mirembe inakuhusu ndugu yangu,au umekula cha Arusha?Nashukuru kwa siku ya Leo walau ilikua njema.
Nimeenda ATM moja hapa Arusha, nilikua nataka kuwithdraw kama 110,000TSh cha ajabu ilitoka 1100,000tsh. Nimevunja mpaka kadi sitaki kuendelea na ile bank tena.
Furaha iliyoje kwenye awamu kama hii ya baba JESCA? Naomba malaika aliyeniamsha Leo aje tena keshokutwa.
Bundle lina pieces 1000 na sub bundle lina pieces 100Kama umeshawahi kuona fungu jipya la pesa ambalo bado hata halijapunguzwa noti moja. Huwa lina idadi gani ya noti?
Utakua na ATM yakoInawezekana mbona ipo siku nimetoa 600k
Hivi na wewe umemaliza wino wako kumshauri huyo mwezi mchanga?utotoni tulihadithiwa padri aliyedondosha begi la pesa akiwa kwenye Baja 750, ajuza akaokota na kupiga kelele kumuita. padre kasimama na ajuza akamwambia umedondosha mzigo wake-akampatia. alichokifanya alimwambia piga magoti nikuombee. baada ya sala akamwambia hautakuja ukutane na bahati nyingine maisha yako yote. akamfungulia kutazama begi, bibi kaona limejaa noti tupu! ## tulisimuliwa na mababu kutuasa kuropoka ropoka kuwa kuna madhara. wenye bahati zao huwa hawatangazi hadharani. umesharahisisha upelelezi. kumbuka cctv zilikuwa on!
Hakuna cha cctv walanini pale. Hadithi za kufikirika. Ushasikia Atm inatema zaidi ya 400,000/= kwa mkupuo? Ni uongo wa kuchangamsha jf.utotoni tulihadithiwa padri aliyedondosha begi la pesa akiwa kwenye Baja 750, ajuza akaokota na kupiga kelele kumuita. padre kasimama na ajuza akamwambia umedondosha mzigo wake-akampatia. alichokifanya alimwambia piga magoti nikuombee. baada ya sala akamwambia hautakuja ukutane na bahati nyingine maisha yako yote. akamfungulia kutazama begi, bibi kaona limejaa noti tupu! ## tulisimuliwa na mababu kutuasa kuropoka ropoka kuwa kuna madhara. wenye bahati zao huwa hawatangazi hadharani. umesharahisisha upelelezi. kumbuka cctv zilikuwa on!
Mkuu hapo nimegundua kitu leo umesimuliwa habari za ATM hujawahi zisogelea umeamua uje hapa utuongopee.... huwezi toa 600k kwa mhamala mmoja maximum kwa mhamala ni 400k tena kama hamna buku teni inamaana ni 200kInawezekana mbona ipo siku nimetoa 600k
kama SI kweli, hakikishaNo, sio kweli
Kaulize bankMkuu kutokana na avatar yako naamini unaweza kunisaidia hili swali;
Hivi katika ya lile fungu jipya kabisa la pesa ambalo bado halijafunguliwa, huwa lina jumla ya noti ngapi?
Una mbishe za ajabu, eti sijawahi zisogelea!!!! Kwani ATM ni ziwa LA moto?????Mkuu hapo nimegundua kitu leo umesimuliwa habari za ATM hujawahi zisogelea umeamua uje hapa utuongopee.... huwezi toa 600k kwa mhamala mmoja maximum kwa mhamala ni 400k tena kama hamna buku teni inamaana ni 200k
Ungeshazisogelea Ungejua maximum withdrawal per day ni Million moja na kwa mkupuo mmoja inatoa laki 4 tu,... Hii story yako hata kwa Shigongo haiuziiUna mbishe za ajabu, eti sijawahi zisogelea!!!! Kwani ATM ni ziwa LA moto?????