Kumbe ATM huwa zinakosea?

Kumbe ATM huwa zinakosea?

Nashukuru kwa siku ya Leo walau ilikua njema.

Nimeenda ATM moja hapa Arusha, nilikua nataka kuwithdraw kama 110,000TSh cha ajabu ilitoka 1100,000tsh. Nimevunja mpaka kadi sitaki kuendelea na ile bank tena.
Furaha iliyoje kwenye awamu kama hii ya baba JESCA? Naomba malaika aliyeniamsha Leo aje tena keshokutwa.
mkuu hii habari umehadithiwa ama imekutokea kweli? maana nijuavyo mimi huwezi kutoa zaidi ya 4k....hivyo ukitaka utoe milioni ni lazima utoe zaidi ya mara moja...au huduma ya kutoa milioni na kuendelea umeanza nayo wewe...mkuu
 
Nashukuru kwa siku ya Leo walau ilikua njema.

Nimeenda ATM moja hapa Arusha, nilikua nataka kuwithdraw kama 110,000TSh cha ajabu ilitoka 1100,000tsh. Nimevunja mpaka kadi sitaki kuendelea na ile bank tena.
Furaha iliyoje kwenye awamu kama hii ya baba JESCA? Naomba malaika aliyeniamsha Leo aje tena keshokutwa.
Wewe mirembe inakuhusu ndugu yangu,au umekula cha Arusha?
 
utotoni tulihadithiwa padri aliyedondosha begi la pesa akiwa kwenye Baja 750, ajuza akaokota na kupiga kelele kumuita. padre kasimama na ajuza akamwambia umedondosha mzigo wake-akampatia. alichokifanya alimwambia piga magoti nikuombee. baada ya sala akamwambia hautakuja ukutane na bahati nyingine maisha yako yote. akamfungulia kutazama begi, bibi kaona limejaa noti tupu! ## tulisimuliwa na mababu kutuasa kuropoka ropoka kuwa kuna madhara. wenye bahati zao huwa hawatangazi hadharani. umesharahisisha upelelezi. kumbuka cctv zilikuwa on!
Hivi na wewe umemaliza wino wako kumshauri huyo mwezi mchanga?
 
utotoni tulihadithiwa padri aliyedondosha begi la pesa akiwa kwenye Baja 750, ajuza akaokota na kupiga kelele kumuita. padre kasimama na ajuza akamwambia umedondosha mzigo wake-akampatia. alichokifanya alimwambia piga magoti nikuombee. baada ya sala akamwambia hautakuja ukutane na bahati nyingine maisha yako yote. akamfungulia kutazama begi, bibi kaona limejaa noti tupu! ## tulisimuliwa na mababu kutuasa kuropoka ropoka kuwa kuna madhara. wenye bahati zao huwa hawatangazi hadharani. umesharahisisha upelelezi. kumbuka cctv zilikuwa on!
Hakuna cha cctv walanini pale. Hadithi za kufikirika. Ushasikia Atm inatema zaidi ya 400,000/= kwa mkupuo? Ni uongo wa kuchangamsha jf.
 
Inawezekana mbona ipo siku nimetoa 600k
Mkuu hapo nimegundua kitu leo umesimuliwa habari za ATM hujawahi zisogelea umeamua uje hapa utuongopee.... huwezi toa 600k kwa mhamala mmoja maximum kwa mhamala ni 400k tena kama hamna buku teni inamaana ni 200k
 
Mashine za ATM zina uwezo wa kupitisha noti si zaidi ya 40. Hivya basi huwezi kutoa zaidi ya 400k kwa wakati mmoja kama mashine ina noti za 10k. Angalia vizuri itakuwa umeongeza sifuri ktk hizo ulizotoa
 
mara kibao tu;crdb mabibo hostel ilicount hela zikawa hazijatoka,ricipt ikawa inaosoma imetoa nikawafuata wakarudisha mtonyo

pia atm ya river side nimecomand hela flan ikatoka ile ile baadae naangalia salio limepungua xn,nikawapigia wakaniambia nimetoa kias flan wakat mm ckutoa hicho,imejidouble mara3 lakin hela haikutoka,imetoka ile tu niliyocomand,bt kule imesoma iliyojidouble mara3 kipind crbd hawalet msg ukitoa hela!

nikafuatilia tawin kwangu,baada ya cku moja/mbili wakarudisha mtonyo

[HASHTAG]#mara[/HASHTAG] nyingi tu atm zinazngua
 
Mkuu hapo nimegundua kitu leo umesimuliwa habari za ATM hujawahi zisogelea umeamua uje hapa utuongopee.... huwezi toa 600k kwa mhamala mmoja maximum kwa mhamala ni 400k tena kama hamna buku teni inamaana ni 200k
Una mbishe za ajabu, eti sijawahi zisogelea!!!! Kwani ATM ni ziwa LA moto?????
 
Una mbishe za ajabu, eti sijawahi zisogelea!!!! Kwani ATM ni ziwa LA moto?????
Ungeshazisogelea Ungejua maximum withdrawal per day ni Million moja na kwa mkupuo mmoja inatoa laki 4 tu,... Hii story yako hata kwa Shigongo haiuzii
 
Back
Top Bottom