Kumbe ATM huwa zinakosea?

Mmmh wee jamaa una balaa sana kila wakat ATM inakosea kwako tu
 
Kitu cha kisimiri si mchezo. Hebu na mimi nikaweke dawa niote kabla ya mchana.
 
Ungeshazisogelea Ungejua maximum withdrawal per day ni Million moja na kwa mkupuo mmoja inatoa laki 4 tu,... Hii story yako hata kwa Shigongo haiuzii
Endelea na hiyo bank yako
 
1100,000tsh. aiseeee hii ndio kiasi cha pesa tena?!

Au huko Mikoani mnatumia tarakimu tofauti kwenye pesa?!
 
nitoe hata jero tu nisisambaze umbea huu..
maana noi kosa la jinai kuibia kampuni, tena kampuni kubwa, tena ni bank, tena imehifadhi hela za walalahoi, tena ni fedha za wizi...!!
mungu anakuona.
 
nitoe hata jero tu nisisambaze umbea huu..
maana noi kosa la jinai kuibia kampuni, tena kampuni kubwa, tena ni bank, tena imehifadhi hela za walalahoi, tena ni fedha za wizi...!!
mungu anakuona.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji12]
 
Acha uongo aisee, ATM gan inayotoa million moja per single draw, acha uongo mkuu
 
Ni hapo bhange zitakapokuisha na kugundua umebakia na elfu kumi kwa sababu hela iliyotoka ni laki na kumi na sio milioni na laki moja kama ulivyodhani!!
 

ATM inavyofanya kazi ukiingiza card na password na kiasi cha pesa unachotaka kuchukua inapeleka taarifa katika account yako kama account yako haina hela ya kutosha huo muamala hautakubali kwa hiyo unaweza kuchukua hela kwenye ATM mpaka hatua ya kwanza ya authorization kukamilika kutoka kwenye account yako hatua ya pili ni ATM kutoa hiyo pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…