mara kibao tu;crdb mabibo hostel ilicount hela zikawa hazijatoka,ricipt ikawa inaosoma imetoa nikawafuata wakarudisha mtonyo
pia atm ya river side nimecomand hela flan ikatoka ile ile baadae naangalia salio limepungua xn,nikawapigia wakaniambia nimetoa kias flan wakat mm ckutoa hicho,imejidouble mara3 lakin hela haikutoka,imetoka ile tu niliyocomand,bt kule imesoma iliyojidouble mara3 kipind crbd hawalet msg ukitoa hela!
nikafuatilia tawin kwangu,baada ya cku moja/mbili wakarudisha mtonyo
[HASHTAG]#mara[/HASHTAG] nyingi tu atm zinazngua