Kumbe Ayatollah Khamenei na familia yake wamejificha kwenye bunker huko Lavizan Kaskazini Magharibi mwa Tehran

Kumbe Ayatollah Khamenei na familia yake wamejificha kwenye bunker huko Lavizan Kaskazini Magharibi mwa Tehran

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
Wadau hamjamboni nyote, Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo, EXCLUSIVE
Khamenei and his family hiding in bunker in Lavizan northwestern of Tehran, sources say
21 minutes ago

Iran's Supreme Leader Ali Khamenei was moved to an underground bunker in Lavizan in northeastern Tehran hours after Israel began its attacks on Tehran early Friday, two informed sources inside Iran told Iran International.

All members of Khamenei's family including his son Mojtaba are with him, the sources said.

According to the sources, during the previous operations against Israel, True Promise 1 and True Promise 2, the Supreme Leader’s family was also taken to the bunker.

At that time, Mojtaba was by his side, but his other two sons, Masoud and Mostafa, were not with him
 
Attachments

  • Screenshot_2025_0615_230243.jpg
    Screenshot_2025_0615_230243.jpg
    88.7 KB · Views: 40
Wamnyofoe humo anyangwe stendi kuu ya Tehran! Maana liliona raha kunyonga wengine kwa kisingizio cha dini sasa ni zamu yake kila mtu ashuhudie.
 
Kama mkuu wa Idara ya usalama wa taifa wa Irañ na mkuu wa majeshi wote wameuliwa ina maana ayatollah hofu imemjaa kwa maana hao ndio wanao organise ulinzi wake
 
Kama mkuu wa Idara ya usalama wa taifa wa Irañ na mkuu wa majeshi wote wameuliwa ina maana ayatollah hofu imemjaa kwa maana hao ndio wanao organise ulinzi wake
Kiufupi Natanyahu kajipanga kumaliza safu yote ya wanaompa kiburi kwenye mfumo wake wa ulinzi na kuharibu mifumo ya kurusha makombora, kumbuka mifumo ya ulinzi wa anga alishamaliza, baada ya hapo ni mpersia kuolewa tu
 
Trump kasema wasimuue, hata nami nasema/naunga mkono wasimuue.

Wamuache ili naye apate aibu, na aiishi aibu ya kujimwambafy wakati akijua nchi yake haina uwezo wa kupambana na Israel kivita.

Israel inauwa ma General wote atabaki peke yake, na sijui sasa atakuwa anaongea nini kwa wananchi baada ya vita.
 
Lakini pia tunapoipa sifa Israel, ni muhimu kuweka mambo katika context.

Bila msaada wa Marekani na nchi zingine za magharibi, Israel ingepata wakati mgumu sana.

Hata sasa hivi tu Iran inapambana peke yake huku Israel ikisaidiwa sana na Marekani hususan, kwa sasa, kwenye mambo ya intelligence.

Marekani ndo inawapa intelligence hao Israel.

Marekani ndo ina supply zana zao za kivita.

Marekani imeweka vikosi vyake standby huko Mashariki ya kati.

Waingereza nao wamesogeza vikosi vyao.

Iran anarusha makombora ambayo yanakatiza anga za nchi walau mbili, Iraq na Jordan.

Wakati mwingine Jordan inayatungua hayo makombora.

Kwa hiyo Jordan inaisadia Israel.

Israel ana backing kubwa sana kushinda Iran.

Iran kwa sasa hana backing yoyote ile.

Kwa hiyo kuisifia sana Israel bila kuweka mambo katika muktadha, si sahihi.

Israel hapigani hii vita peke yake.

Leo imetoka taarifa kuwa Trump kazuia Israel wasimuue Ayatollah.

Kama Trump kazuia huo mpango, maana yake ni kwamba Marekani ina influence kubwa sana kwa Israel na iko involved behind the scenes, at lease kwa sasa.

View: https://youtu.be/2zbYrjCCXNE?si=EQN4Ov9qmY39PlXL

Al Jazeera wanauliza kama China, Russia, na Türkiye nao wataisaidia Iran….

View: https://youtu.be/4f946M6a7Io?si=JQtGtJ2XDOI0ZHhU
 
Hayo yoote uliyosema nayakubali Israel haitimii bila Kusaidiwa na Marekani na washirika wake.

Niliwahi kuandika humu kwamba Israel asingekuwa anansaidiwa ni mwepesi sana, lakini unapopigana na mtu yuko mgongoni mwa mtu mwingine inakuwa ngumu kumfikia.

Israel anapewa silaha za technologia ya juu ambazo nchi nyingi hawapewi. Inamfanya anakuwa mkuubwa lakini kwa uwezo wa Marekani na Washirika wake.

Ila sielewi kwanini Israel, maana sioni tofauti nakusema Marekani iliyoko Middle East.

Kila kitu wanamsaidia, ni ngumu kutenganisha mkono wa marekani na Israel.

Nisahihi kwa wanaosema Iran anapigana na Marekani.

Nahisi ndiyo sababu,Putin alikataa marekani kuruhusu silaha zake kutumiwa na Ukraine, akasema zikitumika nitatumia silaha za maangamizi kujilinda, wakaanza kumwambia Zelensy asituymie silaha za kufika ndani ya Russia, na Sielewi kwanini walimpa hizo silaha ikiwa hawataki azitumie.

Na sielewi kwanini Jordan na Iraq hawataki Iran atumie anga lao kupitisha ndege ikiwa Israel yeye anaruhusiwa.

Jordan wanatungua Makombora ya Iran lakini Halipui ya Israel, very unfair ,very complicated.
 
Back
Top Bottom